Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenyetoz jana mmefumuliwa manundu na Aston villa
Partey efusiiiiii !
Mna hali mbaya !
Mdogo mdogo mtarudi kwenye default mode yenu , upepo ulivyowaendea vizuri hapa karibuni mkarudi na kidomodomo Chenu kujiita mabingwa wa Epl na UCL
Ninyi mmerogwa .
Mabingwa wa kunywa ulanzi labda
 
timu yako ni ya ngapi kwenye msimamo wa ligi
yani sisi jana tumefungwa ndo tukate tamaa ya kutwaa taji
 
Na nyie city mjikaze kwenye GD hapo ukipigwa au draw game mmoja Arsenal ashinde yake mtaamuliwa kwa GD au H2H

Man city played 33 games points 73 GD 44
Arsenal played 33 games points 71 GD 49

japo mna advantage ya easy fixtures zaidi yao ila bado anything can happen in football maana tunajua lazima mfe kwa spurs

huku tunawapiga spana Arsenal haimaanishi washatoka kwenye epl candidate hapana tunawapa ka reality na composure ya kutafakari ni jinsi gani wata amka na deal na mechi zao more matured kisha wawepo na points nyingi za kupambana na nyie
 
Na nyie city mjikaze kwenye GD hapo ukipigwa au draw game mmoja Arsenal ashinde yake mtaamuliwa kwa GD au H2H

Man city played 33 games points 73 GD 44
Arsenal played 33 games points 71 GD 49

japo mna advantage ga easy fixtures zaidi yao ila bado anything can happen in football maana tunajua lazima mfe kwa spurs

huku tunawapiga spana Arsenal haimaanishi washatoka kwenye epl candidate hapana tunawapa ka reality na composure ya kutafakari ni jinsi gani wata amka na deal na mechi zao more mature kisha wapepo na points nyingi za kupambana na nyie
UKo sahihi mkuu. Hamisi sijui yuko wapi?
 
Villa atapigwa tu, Ni swala la muda

Tunaendelea kuusubiri huo muda mpaka tumefika hapa 👇
20240413_180550.jpg
 
Back
Top Bottom