Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arteta anathibitiha msemo wa "nobody is perfect" yaani kai ndio 9 wake, kidhati kabisa kai anafaa kuanza game na kina luton huko,
Kai hana mali mguuni, hamtishi beki, kai karelax mnoo yaani hata ile spirit ya kuonesha anapambania jambo uwanjani hamna, zile dk chache za gabriel jesus unaona kabisa huyu ni mchezaji.

Sielewi na sijui kipi anakiona kwa kai, kila mtu ja jicho lake na mipango yake, kwangu kai ni big NO.
Kai Havertz kwangu afunge magoli muhimu au asifunge still sio mchezaji wa kuanza mbele ya Gabriel Jesus. No fuckin way!

And so sad Arteta halioni hilo kwa kuwa he's so dumb and deaf, hataki kusikia chochote kuhusu Kai, kaweza kum sacrifice Martinelli kwa kumtoa mapema ila sio Kai. Alikuwa na ubora gani wa kucheza all 85 minutes?

I can't pretend this, kwangu pia Kai ni big NO!

Nitarudia huu msemo wangu anytime, if we want to win at Allianz in the 2nd leg, Kai should be on the bench first. Then we can talk football, otherwise Arteta akishindwa kuliona hili atakua hana tofauti na Ten Hag.
 
Kocha ndo anafanya mazoezi kila siku anajua nan Yuko fomu kwasasa na nan nimpange wap? Ndo maana unatakiwa umwamini kocha
 
Wewe jamaa unaposema 'Kai mmoja ni sawa na Gabriel 13' unaongea ukiwa umelewa au una akili zako timamu?
Bro labda kama umeongea utani, lakini kama hii sababu umeitoa uko serious kiukweli naanza kuwa na wasiwasi na sisi baadhi ya Arsenal Fan pengine tuna matatizo. Kufunga goli Final haikupi ubora kuliko wengine.. Final anaweza kufunga yoyote inategemea mpira umekukuta mazingira yapi.
 
Kocha ndo anafanya mazoezi kila siku anajua nan Yuko fomu kwasasa na nan nimpange wap? Ndo maana unatakiwa umwamini kocha
Labda tumfukuze kocha apewe timu yeye. Basi Ateta asimamie mazoezi tu na kusimama uwanjani halafu huyu jamaa ampangie kikosi.

Hajui kwamba wachezaji hawa wametoka majeruhi hawajawa fiti kiafya na kimwili. Wanacheza kulingana na maelekezo ya madaktari na fitness tech.

Mfano mchezaji kwa hatua aliofikia baada ya kutoka majeruhi anatakiwa kucheza dakika 20 au 30 au 40 na si zaidi ya hapo kwa wiki. Ndio maana unaona mchezaji anaanzia benchi.

Sasa hivi Timber anafanya mazoezi na kikosi cha kwanza lakini hata benchi hakai. Bado wataalam wa afya na utayari wa mwili hawajaruhusu apewe dakika zabkushindana kwenye mechi.
 
Bro labda kama umeongea utani, lakini kama hii sababu umeitoa uko serious kiukweli naanza kuwa na wasiwasi na sisi baadhi ya Arsenal Fan pengine tuna matatizo. Kufunga goli Final haikupi ubora kuliko wengine.. Final anaweza kufunga yoyote inategemea mpira umekukuta mazingira yapi.
Hauna fact mjomba, pengine una njaa. Kunywa chai kwanza.
 
Huhitaji hata kuwa mazoezini kujua Jesus yuko kwenye fomu bora kuliko Kai Havertz.
Sasa kocha anauchungu na timu kuliko wewe, wachezaje wake anawajua vizur ndo anachagua kikosi sasa wewe umekaa uko umekariri , japo mi siwez nkakubishia ndo mana we ni mtu wa kawaida na Yule ni professional
 
david raya mchezo wake wa kutoka sana leo tena umechangia kufungwa goli la kwanza.. sijui jamaa anawazaga nini yani kuliacha lango lake mbali vile.

Timu inayocheza kwa mfumo wa high line pressing kipa lazma muda mwingi awe kwenye mstari wa box ya 18 au nje kabisa ili kutengeneza 1 extra outfield player anaye act kama defender kupunguza gap la space in case ukipigwa counter.

Kilichotokea jana ni moja ya weekness ya high pressing game, sio kosa la Raya 100%. Kila mfumo una faida na hasara zake
 
Tunaua mtu pale Allianz rafiki yangu. Arteta hii mechi ya leo ameshajua cha kufanya. Si unamjua jinsi jamaa anavyojua kuadapt?

Hii ndio sifa kubwa aliyonayo Arteta, anajua kusoma game haraka na kufanya quick adjustments

Arteta ni young na inexperienced lakini anaenda “toe to toe” na makocha wenye experience kwenye game, the likes of Pep, Klopp, Tuchel et al.

Watu wanasahau kama Arteta ana msimu wa nne tu kama kocha, anaongoza Epl, yuko robo Uefa na amedroo against Bayern first leg
 
Baadhi ya wadau humu tuliwachukulia poa sana Bayern. Na hii si mara ya kwanza. Tulifanya hivi kwa FC Porto, Tulifanya hivi kwa Aston Villa, kwa West ham na timu nyingine.

Bado pia tunafanya hivi kwa Manchester United. Tuwe na kiasi cha maneno. Reality ikitupiga, tunabaki kukimbia jukwaa.
 
Siku mbaya kazini kwa Kiwior, ila daaah, wadau wanavyomshambuli sasa. Wiki chache tuu, tulikuwa tunamuita Polish Maldini.

Mimi nilichojifunza, ni kumuamini Arteta na kumwacha afanye yake. Jesus juzi anasema hakumbuki lini amecheza bila maumivu. Leo mtu analalamika kwa nini Jesus hakuanza. Jamaa juu kazungumzia fitness ya mchezaji na vitu vingine ndo vinachangia nani aanze nani abaki sub.

Watu walilalamika De Bruyne kuanzia nje jana, kumbe jamaa ana Diarrhea.
 
Baadhi ya wadau humu tuliwachukulia poa sana Bayern. Na hii si mara ya kwanza. Tulifanya hivi kwa FC Porto, Tulifanya hivi kwa Aston Villa, kwa West ham na timu nyingine.

Bado pia tunafanya hivi kwa Manchester United. Tuwe na kiasi cha maneno. Reality ikitupiga, tunabaki kukimbia jukwaa.
Misukule haiwezi kukuelewa unamaanisha nini, vibwengo vya humu hua vinamsikiliza Masingeli kasema nini na vyenyewe vinashikilia humohumo. Masingeli Akiwadanganya Bayern ni Kitayose ya Ujerumani kwa Arsenyo hii ya King Kai lazima tuwapige kono la nyani maana hawana uwezo wa kupishana na pressing ya Arsenyo basi kondoo zote humu utazisikia zinakariri maneno hayohayo mpaka unajiuliza hivi hawa ni binaadamu wa wakawaida au ni maroboti yanayokaririshwa kila kitu na Masingeli

Uzuri wa Masingeli akishawaingiza chaka hua ana kula kona, anaenda kujifungia chooni anawacheka mpaka anaanguka chini.
 
Anasemaga hamis77 tuna tabia za kinyumbu za kumtafuta wa kumtoa kafara pindi matokeo yakienda kombo. Jana ilikuwa kwa Kiwior na kwa Kai. Let's support our players kwa sehemu ndogo ya msimu uliobakia
 
Baadhi ya wadau humu tuliwachukulia poa sana Bayern. Na hii si mara ya kwanza. Tulifanya hivi kwa FC Porto, Tulifanya hivi kwa Aston Villa, kwa West ham na timu nyingine.

Bado pia tunafanya hivi kwa Manchester United. Tuwe na kiasi cha maneno. Reality ikitupiga, tunabaki kukimbia jukwaa.

Me nadhani kwa level za ushabiki wako sawa tu, kitu kikubwa ni namna ya kucontrol hisia binafsi pale mambo yanapoenda ndivyo sivyo.

Angekuwa Arteta ndio anaongea hayo ningekuwa concerned.
 
Mkuu kuna watu wamezidi kuzichukulua poa timu pinzani.
 
Kai Havertz kwangu afunge magoli muhimu au asifunge still sio mchezaji wa kuanza mbele ya Gabriel Jesus. No fuckin way!

And so sad Arteta halioni hilo kwa kuwa he's so dumb and deaf, hataki kusikia chochote kuhusu Kai, kaweza kum sacrifice Martinelli kwa kumtoa mapema ila sio Kai. Alikuwa na ubora gani wa kucheza all 85 minutes?

I can't pretend this, kwangu pia Kai ni big NO!

Nitarudia huu msemo wangu anytime, if we want to win at Allianz in the 2nd leg, Kai should be on the bench first. Then we can talk football, otherwise Arteta akishindwa kuliona hili atakua hana tofauti na Ten Hag.
Chief ulishawahi kufundisha mpira angalau level ya Madrasa, sunday school, nursery school?
 
Sasa kocha anauchungu na timu kuliko wewe, wachezaje wake anawajua vizur ndo anachagua kikosi sasa wewe umekaa uko umekariri , japo mi siwez nkakubishia ndo mana we ni mtu wa kawaida na Yule ni professional
Wewe aliekwambia Arteta anauchungu wa timu kuliko mashabiki ni nani?

Kwahiyo Arteta kipindi anacheza mpira Everton alikua ana uchungu na Arsenal si ndio maana yake!?
 
Back
Top Bottom