HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,643
- 7,073
Hapo kocha alikosea. Ana nafasi ya kujirekebishaKulikua na faida gani ya kuanza na Kiwior wakati hasaidii kwenye kuzuia? Kiwior kashindwa mapambano yake yote dhidi ya Sane.
Mtu hajacheza mechi 2 unaanza nae wa nini?
