Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

david raya mchezo wake wa kutoka sana leo tena umechangia kufungwa goli la kwanza.. sijui jamaa anawazaga nini yani kuliacha lango lake mbali vile.
 
Sahihi,acha tuone dakika tisini zina siri gani?
 
Kuna timu ulaya haina kikundi LGBT SUPPORTES
nitajie hapa.
Tatizo ni hilo jina 'Gay Gooners' linafurahisha kila nikilisoma. 😂 Wangepunguza ukali wa maneno kama United & Chelsea: Rainbow Devils & Chelsea Pride.
 
Hili lina ukweli. Yaani shida ni kwamba kwa sisi Arsenal mtu akisoma tu anajua hawa ni mpunga kitenesi ila nyinyi hadi aangalie makalio yalivyolika
 
Back
Top Bottom