Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Refa ameonesha upendeleo wa hali ya juu. Mchezaji anapoteza mpira ndani ya 18 halafu anarusha mguu kwa kipa ili amdanganye refa kuwa ameguswa. SAKA alitakiwa straight yellow card ili kukomesha tabia hiyo.
Ingia uwanjani kampe mkuu🤠🤠🤠...inaonekana una roho ya kwann kwlikwli😂😂
 
henry henry

Aggregate zitakuja muaibisha mtu huko mbeleni wazee wa full red full house
Aisee. Labda Arteta azingue zaidi. Ila hawa tunalingana uwezo. Infact, naona nimemzidi. 😁😁
 
Quality vs experience

Ndiyo hivi sasa.

Arteta alijua haya ndiyo maana akasema kwake msimu wa kwanza CL ni kwaajili ya kutalii. Unaofuata ndiyo ataanza kuwaza kombe.

Porto waliweza disrupt rhythm. Bayern asingeshindwa.

We move
 
Arteta amezingua kuanzia alipopanga kikosi. Anaanza na kikosi cha EPL kwenye Champions League.

Unajua Jesus ni wamoto UEFA still unaenda na false 9.

Akitaka tushinde mechi ya marudiano Allianz basi Kai aanzie mkeka, la sivyo safari inaishia hapa robo fainali.

Mimi nimemaliza!
 
Arteta amezingua kuanzia alipopanga kikosi. Anaanza na kikosi cha EPL kwenye Champions League.

Unajua Jesus ni wamoto UEFA still unaenda na false 9.

Akitaka tushinde ya marudiano Allianz basi Kai aanzie mkeka, la sivyo safari inaishia hapa robo fainali.

Mimi nimemaliza!
Kulikuwa Jorginho na Kiwior. Kwao walitakiwa Partey na Tomiyasu pia.
 
Arteta anathibitiha msemo wa "nobody is perfect" yaani kai ndio 9 wake, kidhati kabisa kai anafaa kuanza game na kina luton huko,
Kai hana mali mguuni, hamtishi beki, kai karelax mnoo yaani hata ile spirit ya kuonesha anapambania jambo uwanjani hamna, zile dk chache za gabriel jesus unaona kabisa huyu ni mchezaji.

Sielewi na sijui kipi anakiona kwa kai, kila mtu ja jicho lake na mipango yake, kwangu kai ni big NO.
 
Aisee. Labda Arteta azingue zaidi. Ila hawa tunalingana uwezo. Infact, naona nimemzidi.
Quality sijapinga umemzidi ila kumbuka na yeye atakuwa na advantage kibao kama mlizokuwa nazo nyie leo

home stadium home fans
alot of injury recoveries
Roho ya ki German hii muangalie sana msije mkamchukia mtoto wa watu raya bure
 
You have a 99% chance to score you opt to throw your leg to the goalkeeper to buy a penalty 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Sasa tukutane Allianz Arena mtaeleza
 
You have a 99% chance to score you opt to throw your leg to the goalkeeper to buy a penalty 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Sasa tukutane Allianz Arena mtaeleza
Tunafatana hadi huku🤠🤠....tukutane weekend mkuu...huku hakukuhusu...subiria kombe lako la futuhi alhamisi
 
Back
Top Bottom