Pengine angekua beki mwenye magoli mengi labda angepata hizo kura 6Tuna beki ambaye alibakia kura sita tu abebe mchezaji bora wa ulaya vipi mnaye?
Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
Pengine angekua beki mwenye magoli mengi labda angepata hizo kura 6Tuna beki ambaye alibakia kura sita tu abebe mchezaji bora wa ulaya vipi mnaye?
Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
Tunamkimbiza mwizi kimya kimyaNdio mnagundua leo. Liverpool tunao watano pia wana 10 + goals contribution
Huyo jamaa tunaweza kuamua kumchukuwa summer. Acha aje afanye interview. Akiweza kuwamudu kina Saliba hatumuachi.Yaani Ivan Toney ana hasiraa ana nyie lazima awatungue za kutosha



Ila Emery wa sasa naona kawa mkali. Unajua hatujamuacha nyuma sana kwa points?Mchezo anaoufanya ETH aliwahi kuufanya Unai Emery pale Arsenal,anashinda lakini anapelekewa moto na kuwa dominated na mid table teams,
After match anasema "The boys gave everything, they played with their heart"
Watford anakupigia shots 31
Unai Emery aliwahi kwenda run ya mechi kama 20 hafungwi lakini hizo mechi Sasa ni kupelekewa moto sana ,full kuvizia anashinda ,na sare ,
Thus why imekuwa rahisi sana kuwaeleza manjesta mapema kabisa ETH ni tapeli ,wamefanana vile vile style play Yao .
Wazoefu wa Arsenal ya Unai Emery watakuwa wanakumbuka vzr sana
View attachment 2925033
Wale mashabiki wa Nyumbu na Chelsea mbona siwaoni kwa Kai saivi?Arsenal now have FIVE players with 10+ goal contributions in the Premier League this season, more than any other team.
Bukayo Saka (21) — 13G + 8A
Martin Ødegaard (12) — 6G + 6A
Declan Rice (10) — 5G + 5A
Gabriel Martinelli (10) — 6G + 4A
Kai Havertz (10) — 7G + 3A
COOKING.
Sema ww jamaa una roho ngumu sana, huchokiYaani Ivan Toney ana hasiraa ana nyie lazima awatungue za kutosha
Westham wapuuzi tu wale sio wa kuwategemea kabisaSema ww jamaa una roho ngumu sana, huchoki
Ulianza toka kwa West ham akala 6 hadi kwa Ivan toney daah
Emery shughuli yake ishaishia hapo ameokota point nyingi, mpira huo huo anaocheza Astonvilla,Kwa Arsenal angefukuzwaIla Emery wa sasa naona kawa mkali. Unajua hatujamuacha nyuma sana kwa points?
Nawaona nyumbu na Kenge wakipanga mabeki na viungo tu, ili kupunguza idadi ya magoli
View attachment 2925134


Arsenyo banaaa kama vile wapo serious kweli na Epl, ngoja zibakie mechi 4 ndio utajua kua walikua wanatania tu na kuwasindikiza wenzao kwenda kuchukua kombe





Kombe hamchukui. Hata mshinde 10 bila kila mechi



Arsenyo kama timu haijawahi kua serious na kombe ila mashabiki wa Arsenyo wao ndio wako serious kwelikweli na ubingwa



Jana mlikuja na msemo wa Friends of Sheffield United...leo mmeamka na hii🤠🤠...ww kama ni Manunu au Chelkenge ujiandae tuna jambo letu na hzo timu....hzi sita na Tano tumewapiga wale wanacheza pasi mbili tatu...Sasa nyny mnaovizia Counter attack ndo wazuri tuje kujipimia kwnu kwmba tutaishia kene goli 5 au tutaenda mbali zaidi na kukupigeni wiki kabisaKombe hamchukui. Hata mshinde 10 bila kila mechi
Bahati mbaya sana tutakuja OT mechi za kufungia msimu...nilikuwa natamani mechi ijayo tunge test mitambo na nyny tuone Yale mafunzo ya Dubai kama tumeyakariri vzuri🤠🤠🤠Arsenyo kama timu haijawahi kua serious na kombe ila mashabiki wa Arsenyo wao ndio wako serious kwelikweli na ubingwa
View attachment 2925199
Nyie kuanzia wiki ijayo tu Fc Porto akiwatoa Uefa molari yote inashuka mnaanza kupoteana mazima kwenye Epl.Bahati mbaya sana tutakuja OT mechi za kufungia msimu...nilikuwa natamani mechi ijayo tunge test mitambo na nyny tuone Yale mafunzo ya Dubai kama tumeyakariri vzuri![]()
Tuache Ze Ganaz tule raha. Tumetoka mbali sana. Nafasi ya 8 mara mbili bro unadhani mchezo? Mkitukuta bar tunapiga bia kwa hela zetu na hatubugdhi mtu, mtuache.Arsenyo banaaa kama vile wapo serious kweli na Epl, ngoja zibakie mechi 4 ndio utajua kua walikua wanatania tu na kuwasindikiza wenzao kwenda kuchukua kombe
Nikikumbuka mwaka jana waliprint mpk shimizi za top on the table na wakashona vijora kabisa vya kusherehekea ubingwaView attachment 2925160