Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii hapana, Gabriel n mchezaj wetu muhimu sana, ametu sahaulisha koscienly mapema. Siri ya ubora wetu kule nyuma n yeye, hayo makosa mengi labda unikumbushe, lakn navyojua mm makosa anafanya lakin sio ya kumsondea kidole, kwa sababu hakuna mchezaj asiye fanya makosa.

Saliba kamuangalie tena, ana mengi sana ya kujifunza kwa Gabi the great man
Huwezi kuona udhaifu wa Gabriel kwa macho mawili, unahitaji vision ya kimpira kuelewa kwanini Saliba ni bora kuliko Gabriel. Mkuu mchezaji mmoja hawezi kuleta ubora unaodhani pale nyuma, that Mikel Arteta has afforded to give us a top defensive structure ndio inakupa unachokiona wakati timu nzima inawork as a unit.

Sasa hivi tunaongelea Arsenal ya kuchukua EPL & UCL thats why tunahoji je defending ability ya mtu km Gabriel itatufikisha kwenye nchi ya ahadi, tunasema hapana anaflaws nyingi mno, Beki km Gabriel hawezi kukupa kombe mbele ya Pep's team inayoshinda points 90+ each season. Koscienly? who is koscienly bro? Mbele ya Pep Guardiola.
 
Na sio tu defensive, Gabriel hata anavyobuild play anapata tabu sana, central progression kwake is like a rocket science, ukimcheki Benjamin White is very comfortable when building play unlike Gabriel magalhaes. That's my opinion. We need a top ball playing defender like Benjamin White.
 
Ebu weka hiyo vision ya kimpira ili tuone wewe vision yako ikoje.

Ila km unatazama mpira vzr jinsi anavyo kaba 1v1, anavyogombania mipira ya juu(header) na anavyoanzisha mpira huwezi kusema kuwa ni beki ambae hawezi kutufikisha nchi ya ahadi. Mkuu gabriel ni stopper kweli kweli.

Na kitu kingine ambacho unatakiwa kukitilia maanani ni kwamba huwezi kuwa na mabeki wawili wanaofanana wakacheza pamoja lzm wawe na errors nyingi. Ndo maana utaona White akipora mpira ataanza kukokota kwenda mbele lkn Gabriel akipora mpira atapiga pasi au km atakokota basi atakokota mara chache sana.

Rudisha kumbukumbu nyuma mechi na man city kabla ya kupigwa kadi nyekundu ndo utaona kazi aliyofanya.
 
Hapo ndo uone kazi yao ilivyo tofauti yan mmoja anazuia na mwingine anazuia na kuanzisha mashambulizi. Km ulivyosema White akichukua mpira anatulia maana anawaza kuanzisha lkn Gabriel anawaza kuzuia na kuwapa wengine waanzishe. Mkuu gabriel ni beki alietimia kwenye kuzuia, yuko tough na anafika kweli kweli
 
Mistakes are part of our beautiful game, yani mtu kufanya errors ni kawaida sana katika mpira. Partnership ya White na Gabriel imesaidia sana kufanya defence ya arsenal iwe kama ile tunayoijua tangu kuondoka kwa kina Toure na Campbell.
 
Ebu weka hiyo vision ya kimpira ili tuone wewe vision yako ikoje.

Ila km unatazama mpira vzr jinsi anavyo kaba 1v1, anavyogombania mipira ya juu(header) na anavyoanzisha mpira huwezi kusema kuwa ni beki ambae hawezi kutufikisha nchi ya ahadi. Mkuu gabriel ni stopper kweli kweli.

Na kitu kingine ambacho unatakiwa kukitilia maanani ni kwamba huwezi kuwa na mabeki wawili wanaofanana wakacheza pamoja lzm wawe na errors nyingi. Ndo maana utaona White akipora mpira ataanza kukokota kwenda mbele lkn Gabriel akipora mpira atapiga pasi au km atakokota basi atakokota mara chache sana.

Rudisha kumbukumbu nyuma mechi na man city kabla ya kupigwa kadi nyekundu ndo utaona kazi aliyofanya.
Kwenye Mechi na Man city Gabriel alifeli na ile mechi tungepata points bila hayo makosa yake, kwanini ?

Sikia, moja ya majukumu ya Gabriel ni kwamba he supposed to hold the high line press per 90. Kuna moments anakuwa mentally passive na kusit off, ni makosa ya kimuundo, kivipi?, tuzungumzie red card aliyopewa vs City,

Alichotakiwa ni kuhold the line behind Gabriel Jesus, lakini hakufanya hivyo ikapelekea kuchelewa kuswitch target by the time anaArrive na Jesus akawa kashaturn on his way to score, then you know what happened? Huyo ndio Gabriel magahleas

kuzuia mabeki wangapi wanazuia mkuu, tunahitaji mchezaji mwenye high tactical education kushindana na Pep's team sio kuzuia hata Mustafi anazuia.
 
Shit housery

Screenshot_2022-02-26-08-53-08-80_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
 
Hapo ndo uone kazi yao ilivyo tofauti yan mmoja anazuia na mwingine anazuia na kuanzisha mashambulizi. Km ulivyosema White akichukua mpira anatulia maana anawaza kuanzisha lkn Gabriel anawaza kuzuia na kuwapa wengine waanzishe. Mkuu gabriel ni beki alietimia kwenye kuzuia, yuko tough na anafika kweli kweli
Kwamba majukumu tofauti mmoja anazuia mwingine anaanzisha mashambulizi haah!
 
Na sio tu defensive, Gabriel hata anavyobuild play anapata tabu sana, central progression kwake is like a rocket science, ukimcheki Benjamin White is very comfortable when building play unlike Gabriel magalhaes. That's my opinion. We need a top ball playing defender like Benjamin White.
White ni ball playing defender huwezi kua nao wawili na wote ukawaweka katikati halafu waperform duties zile zile za kuanzisha mashambulizi.

Silva na Luiz wakiwa PSG walikua ni ball players ila ilibidi mmoja awe anamute na aliyemute alikua Silva.

Magalhaes ni beki mzuri. Last minutes tackles, containment, nguvu na akili ya kulinda zote anazo isipokua kila beki once or twice atakua exposed na opponent. Virgil alilambishwa mchanga na Rashford, Samata, Watkins n.k.

Anachooffer Magalhaes hakijaonekana kule nyuma tangu Mustafi na Sokratis wawe CBs. Magalhaes anafanya kazi iwe rahisi kwa partner wake ametupa namba za juu za least conceded goals akiwa partnered na Holding.

Saliba siyo mbaya ishu ni kwamba akirudi na akaprove nini kitatokea? Unless tucheze 3 4 3 kuwaaccommodate wote.

Umeuliza Laurent ni nani mbele ya Pep, notice kwamba Pep kamnunua Ake, a flop, ila haongelewi kwakua city inaperform. Ukasema Magalhaes si kitu mbele ya timu ya Pep well Danilo ni beki mwingine aliyenenda rudi pale City leo yuko wapi?

In fact ukuta wa gharama wa Pep hua unawekwa benchi na ukuta wake wa bei ndogo. Kila beki aliyenunuliwa kwa pesa ndefu alikuja kuwekwa benchi na beki wa bei ya chini yake.
 
Hivi wakuu kulikua na sababu gani ya kumsajili Albert Sambi Lokonga wakati tuna Matteo Guendozi ambaye kwa upande wangu naona yupo vizuri zaidi kumzidi sambi.
 
Matteo mchezaji mzuri ila tatizo displine hana ni ngumu sana kum-handle
 
kitakwimu mechi nyingi sana tumepata matokeo gabriel maghaelas akiwepo..yy ndo uti wa mgongo defensively tng msimu uliopita.Na kiukweli ameongeza sana quality season hii hadi imesababisha awe kwenye selection ya selecao(Brazil national team)mara kadhaa
 
Kwamba majukumu tofauti mmoja anazuia mwingine anaanzisha mashambulizi haah!
Ndio mkuu! Namaanisha kwamba White muda mwingi akishika mpira unaona anakokota kwenda mbele tena kwa umbali mrefu na kwa kasi. Hii maana yake ni nini, ni kwamba analazimisha upande wake wakimbie kwenda mbele kutafuta nafasi za kupewa mpira kisha wafunge. Lkn wakati anafanya hivyo gabriel anakuwa amebaki kuimarisha ulinzi kwa kuwa yeye huwezo wa kufanya hivyo ni mdogo au haupo kabisa.

Kwa hali nikasema kwamba mmoja(Gabriel ni stopper) na mwingine ni mwanzisha mashambulizi( ball playing defender).

Mkuu km umewahi kucheza mpira katika level zetu za kawaida na ukiwa mkabaji kuna kitu kinaitwa mahesabu & timing yan wakati beki unajiandaa kupokea au kukaba unakuwa umepiga mahesabu kwamba huu mpira nitaenda kuuchukulia eneo fulani na kwa kutumia kiungo fulan kwahiyo baada hapo kinachofuata ni kufanya timing kwa opponent wako & same thing to your opponent so ukikosea tu timing unaonekana umekosea na hapo itategemea ulipanga kufanya nini. Hicho ndo kitu huwa kinatokea kwa mabeki wote na nikawaida tu kutokea hasa ukikutama na opponent mwepesi na mnyumbulifu zaidi. Zaidi ya hapo Gabriel ndo stopper wetu kwa sasa na kazi anaifanya vzr sana na huwezi kuwa na stopper wawili kwenye kikosi kimoja
 
Hivi wakuu kulikua na sababu gani ya kumsajili Albert Sambi Lokonga wakati tuna Matteo Guendozi ambaye kwa upande wangu naona yupo vizuri zaidi kumzidi sambi.
Zaidi ya moyo wa kupambana alionao Guendouz sioni sifa yake nyingine.

Hana nguvu, pace wala skills. Anapoteza mipira hovyo na anashindwa duels nyingi mno.
 
White ni ball playing defender huwezi kua nao wawili na wote ukawaweka katikati halafu waperform duties zile zile za kuanzisha mashambulizi.

Silva na Luiz wakiwa PSG walikua ni ball players ila ilibidi mmoja awe anamute na aliyemute alikua Silva.

Magalhaes ni beki mzuri. Last minutes tackles, containment, nguvu na akili ya kulinda zote anazo isipokua kila beki once or twice atakua exposed na opponent. Virgil alilambishwa mchanga na Rashford, Samata, Watkins n.k.

Anachooffer Magalhaes hakijaonekana kule nyuma tangu Mustafi na Sokratis wawe CBs. Magalhaes anafanya kazi iwe rahisi kwa partner wake ametupa namba za juu za least conceded goals akiwa partnered na Holding.

Saliba siyo mbaya ishu ni kwamba akirudi na akaprove nini kitatokea? Unless tucheze 3 4 3 kuwaaccommodate wote.

Umeuliza Laurent ni nani mbele ya Pep, notice kwamba Pep kamnunua Ake, a flop, ila haongelewi kwakua city inaperform. Ukasema Magalhaes si kitu mbele ya timu ya Pep well Danilo ni beki mwingine aliyenenda rudi pale City leo yuko wapi?

In fact ukuta wa gharama wa Pep hua unawekwa benchi na ukuta wake wa bei ndogo. Kila beki aliyenunuliwa kwa pesa ndefu alikuja kuwekwa benchi na beki wa bei ya chini yake.
Nani anasema huwezi kuwa na ballplaying defenders wawili? Inabidi uelewe kwanini kuna ballplaying defenders nowadays.

Ngoja twende sawa

Sifa kuu a Good defender ( Van dijk) anatakiwa awe Composed, Calm, Confident.

What makes a good defender? Kuna mambo mawili makuu
1. Ability to win duels

2. Ability to Manage spaces in relation to the ball and teammates.

Gabriel Magahlaes kwenye kigezo cha Ability to win duels amepass, that's why wengi mnampraise sababu icho ndio mnakiona kwa a good defender, how about managing of spaces? To understand namna gani unaweza kuclose down your opponents & tackles unahitaji sixth sense of defending like Van dijk / kalidou koulibaly/ Chiellini.

Tatizo la Gabriel, he is not a ballplaying man, offensive anashindwa kucheza a foward linking passes to our wingers which get the team off pressure, whenever under pressure always give backpass, very risky

Sasa Kwanini? Sababu Gabriel analack vigezo muhimu which make a good defender... Control, Confidence, Calmness.

Yote yanasababishwa na his poor reading of situations inapelekea inaability to dominate and control the game. Ataendelea kutupotezea point paka atapoimprove but at the moment he is not good enough.

Kitu kingine kuhusu Pep Guardiola inabidi uelewe Pep anacheza Positional play (Juego de posicion) hivyo usitegemee mchezaji alikuwa anategemewa Bournemouth basi atakuwa hivyohivyo Man city, just like Jack Grealish alikuwa bora Aston villa ( play making) lakini anakuwa normal tu at City sababu roles zinapungua unafanya Roles za position tu inavyokuhitaji. Na Pep hajawahi kusajili Flop, hata Rodrigo Hernandez watu walimwita flop at first.
 
Wakuu nieleweke sijasema Gabriel ni beki mbovu, nachojaribu kusema ni kuwa he will continue to cost us points until atakapo Mature kwenye his proper reading of the situations and dominate them. Currently the level is so low

Kwanini Saliba sasa?, he is Calm / Confident/ Composed, Very fast, Athletic , phsical specimen, genius can read the game better. The young best ballplaying defender in the World. He is better than Ibrahima Konate.
 
Nani anasema huwezi kuwa na ballplaying defenders wawili? Inabidi uelewe kwanini kuna ballplaying defenders nowadays.

Ngoja twende sawa

Sifa kuu a Good defender ( Van dijk) anatakiwa awe Composed, Calm, Confident.

What makes a good defender? Kuna mambo mawili makuu
1. Ability to win duels

2. Ability to Manage spaces in relation to the ball and teammates.

Gabriel Magahlaes kwenye kigezo cha Ability to win duels amepass, that's why wengi mnampraise sababu icho ndio mnakiona kwa a good defender, how about managing of spaces? To understand namna gani unaweza kuclose down your opponents & tackles unahitaji sixth sense of defending like Van dijk / kalidou koulibaly/ Chiellini.

Tatizo la Gabriel, he is not a ballplaying man, offensive anashindwa kucheza a foward linking passes to our wingers which get the team off pressure, whenever under pressure always give backpass, very risky

Sasa Kwanini? Sababu Gabriel analack vigezo muhimu which make a good defender... Control, Confidence, Calmness.

Yote yanasababishwa na his poor reading of situations inapelekea inaability to dominate and control the game. Ataendelea kutupotezea point paka atapoimprove but at the moment he is not good enough.

Kitu kingine kuhusu Pep Guardiola inabidi uelewe Pep anacheza Positional play (Juego de posicion) hivyo usitegemee mchezaji alikuwa anategemewa Bournemouth basi atakuwa hivyohivyo Man city, just like Jack Grealish alikuwa bora Aston villa ( play making) lakini anakuwa normal tu at City sababu roles zinapungua unafanya Roles za position tu inavyokuhitaji. Na Pep hajawahi kusajili Flop, hata Rodrigo Hernandez watu walimwita flop at first.
Mkuu hivi Hawa wachezaji sio flop under pep...! Nolito,bravo and Mendy?
 
Wakuu kinachotupa ubora pale kwenye defence ni kwamba Arteta tactical setup is so good, Ni kwamba mmesahau tumechukua FA & Community shield with Mustafi / Sokratis/ Bellerin/ Luiz at the back.

Defence ilitransform toka alivyokuja Mikel Arteta . Even Mustafi looked impressive after Mikel arteta kuja. Au mmesahau we drew 2-2 at Starmford bridge down to 10 men with Mustafi at the back?

Kwangu naona Sio suala la kumpraise mchezaji mmoja kuwa anafanya our defence to look so good, Arsenal last season tumecheza sana na Holding & Luiz as CBs bado Arsenal iliingia kwenye top 3 ya timu bora kwenye ulinzi Premier league, even at our losing runs kipindi cha November to December bado tulikuwa na rekodi bora ya ulinzi ila kufunga magoli ilikuwa shida, hiyo ni tactical setup.
 
Mkuu hivi Hawa wachezaji sio flop under pep...! Nolito,bravo and Mendy?
Nolito & Bravo sio wachezaji wa Pep, Mendy kasumbuliwa na injury ila kashashinda Premier league in his first season with City, Rwkodi inaonesha Msimu wa 2018-19 aliweka Assist 5 kwenye mechi 10 kabla hajapata injury.
 
Back
Top Bottom