Habari mbaya kivipi? Ushabiki wako unakufanya uonekane kama AKASINO na sio AKASINOZOHabar mbaya kwa arteta View attachment 1546800
Umepanic brazaHabari mbaya kivipi? Ushabiki wako unakufanya uonekane kama AKASINO na sio AKASINOZO
Aiseeee PSG na Thomas tuchel ni wapumbavu hivi kumbe?
Hata nafuatilia siku hizi bro?? Majukumu yamenizidi sana so nasubiri siku ya kufungwa dirisha ndio najua kiuhakika nani kasajiliwa nani kaondoka.Kuna taarifa niliziona humu pia kwamba Barca wanamtaka, ziliishia wapi?
Hata nafuatilia siku hizi bro?? Majukumu yamenizidi sana so nasubiri siku ya kufungwa dirisha ndio najua kiuhakika nani kasajiliwa nani kaondoka.
Siangalii kelele wanazopiga mitandaoni.
Nakumbuka early 2000's nlikuwa natembea umbali kiasi kutafuta mwanaspoti. Kipindi hicho hakuna mitandao ya kijamii kwetu sisi wanyonge. That time has passed, nilikuwa mshabiki nguli kama walivyo vijana humu mitandaoni right now. At the moment I know better and I sleep longer if you know what I mean
Hao Goal.com pia wana uafadhali flani hivi.Kipindi kama hiki ni lower season kwa sports news, kwa hiyo unakuta jamaa wanatujazia mitetesi ya uongo uongo.
Mimi mara nyingi natumia taarifa za BBC na kiasi Sky News, napitia zile done deals najua nini kinaendelea.
Kuna mitandao kama Goal.com, Mirror, Daily Mail ni full tetesi, si ajabu kukuta Goal.com wanakuwekea tetesi ya Messi kusajiliwa Yanga.
Hao Goal.com pia wana uafadhali flani hivi.
Ya nini tuchoshane na mitetesi??
That is a stage you reach when you grow older.Wao wanauza taarifa kwa kuandika hizo tetesi, kazi ni kwetu kuchambua nini tuache nini tuchukue.
Mimi nilishaachana na tetesi pia, nakuwa nasubiri report ya taarifa kamili kwamba wamesajili.
Emery ndiye alimvumbua Rabiot naamini kuna kitu kakiona kwa Guendouz isipokua yeye hayupo serious. High fighting spirit, height but lacks stamina, power, speed and skills.Sidhan kama watatoa hiyo hela japo ndio dau Arsenal walihitaji
Kwani wakimtaka ndio anafaa sana kwa Arsenal ?
Nakwambia ni kocha mwenye akili za emery atakayeamini Guendouz anafaa kuanza kikos kama cha Arsenal halafu upate mafanikio ,
Yaani kwa mpira wake labda Huko ufaransa
Ndio maana baada ya emery hajawahi kupewa airtime tena ,
Point yako ni nini?Jana Neymar Mbappe Dimaria umeona walichokifanya Mtu wangu???
That is a stage you reach when you grow older.
Time is becoming of utmost important to you. They are saying "Maturity is to opt for a sleep than going out on a Friday night"
Kwa ufupi yaniFOOTBALL IS A CRAZY GAME.
Gnabry left Arsenal and won the UCL
Henry left Arsenal and won the UCL
Ashley Cole left Arsenal and won the UCL
Chamberlain left Arsenal and won the UCL
Willian has left Chelsea to win UCL with Arsenal.
It does broI got you.
Kuna mida ilikuwa ni prestige kuwa wa kwanza kupata taarifa na kuwasimulia watu, nowadays nasubiri taarifa zitoke kwa watu halafu ndo nifatilie usahihi wake.
It comes with age.
We have reached agreement with both Pablo Mari and Cedric Soares to join the club on permanent deals.