Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,876
Oh Fergie dictator,Wenger yuko friendly na wachezaji hayo ndio matokeo
...nice one Belo, hilo ni tatizo mojawapo ambalo wapenzi na washabiki wa arsenal wanamlaumu sana manager.
lakini je, hiyo ni sababu ya kumfukuza manager wa status kama wenger? who shall replace him ambaye
anaweza fanya kazi kwenye structure ya wages kiduchu kwa wachezaji?
hivi, mnaifananisha arsenal na team zenye ma sugar daddies wanaowapelekesha kina mancini, andre boas, ambao wote wamekalia kuti kavu?
cum on guys, patience pays....competition kwenye epl kwa sasa ni pesa, japo hakuna excuse ya ku draw au kufungwa na team 'dhaifu' kama blackburn, birmingham et al isipokuwa kwa wachezaji wenyewe wanaoweza wadindia kina Barcelona, Borussia Dortmund etc...!