Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hakuna excuse, ila makosa yetu wenyewe na wa kubeba lawama ni Wenger kwa kushindwa kubadili tactics, hivi ndio hakuna plan B kwa Professa? Mfano nilishangaa kuona akimtowa Andre na sio Gervinho? Andre leo gemu ilimkubali na alikuwa anawasumbua sana difensi ya Blackburn, nahisi kama angebakia na kuingia Theo na kucheza kama 2nd striker kwa staili ya 4-4-2, kwa sababu kwa mtindo wa 4-3-3 na mido 3 jamaa walikuwa wanakatiza sana pale kati na tatizo hili ni hata ile mechi ya ManU.
Mikel yuko poa ila Aaron pamoja na kuwa ni mzuri lakini hayuko creative na gemu yake huwa hawezi kusaidia difensi mfano wa Jack. Kwa nini AW kwa muda huu kwa vile tumewakosa Jack na TV5 asibadilike na tukacheza 4 in the middle ili kuwapa extra security difensi yetu?
Anyway Professa ndio anajua ila kuachia mabao 14 katika mechi 5 sio mchezo, tunaongoza katika ligi kwa rekodi ambayo sio familia kwetu kwa kufungwa mabao mengi. Wenger lazima aamke sasa ili kuunusuru msimu wetu.
Matatizo yetu makubwa ni mawili:
1. Difensi yetu inasumbuka kwenye kona na free-kick na hii ni dhahiri kutokana na idadi nyingi ya mabao ambayo tumefungwa ni aidha kona ama free-kicks, ukiachilia hii mpya ya leo ya kujifunga. Kwa kumkosa TV5 hakuna calm influence kwa CB zetu, Per bado hajachanganya na Djourou na Koscielny ni ajali tupu, hawakawii ku-panick.
2. Mido yetu ni nyepesi - kuondoka kwa Samir na Cesc na ukichanganya na majeruhi ya Jack tumebaki watupu hapa kati, Mikel ni ongezeko zuri ila bado jukumu la ku-supply zile service kwa RVP in zito kwake. Aaron pamoja na uzuri wake ameshindwa kupeleka service kikawaida ingawa namsifu sana kwa pasi yake kwa Mikel iliyotupatia bao la pili.

Andre ni mzuri kwenye attack lakini defensively yuko poor. Nimemwona kama mara2 au 3 hivi akiwa hayupo kwenye position na hivyo kuwapa Blackburn nafasi kushambulia, hii ni pamoja na goli la nne mlilofungwa.
 
kabisa mkuu statistics zinajieleza 23 shots, 13 corners, 69% possession na mabao 2 ya kujifunga? Hii inadhihirisha wazi kwamba tulikontroo mechi na bado tumeishia kufungwa, sijui ndio bundi kahamia kwetu mwaka huu daah!!

Mie najiuliza kwanini tunachanganyikiwa kirahisi sana? Kama tunajua hatuwezi kutuliza akili tukiwa under pressure bora kutumia vizuri nafasi tunazo pata hili kuwa katisha tamaa wapinzani.

Timu inapoona goal difference ni moja tu inakuwa na nguvu ya kusawazisha na sisi hapo ndio tunaanza kuchanganyikiwa na kupoteza muelekeo kabisa.

Makosa ni yale yale kila siku na kama ulivyosema Wenger anahitaji plan B na awe sharp kusoma game hili aweze kufanya mabadiliko yanayofaa wakati muafaka.
 
kabisa mkuu statistics zinajieleza 23 shots, 13 corners, 69% possession na mabao 2 ya kujifunga? Hii inadhihirisha wazi kwamba tulikontroo mechi na bado tumeishia kufungwa, sijui ndio bundi kahamia kwetu mwaka huu daah!!

Mkuu Kweli naona kumbukumbu zako zinapotea kidogo, bundi yuko hapo Emirates punde tu mlivyotia mguu kutoka Highbury.
 
Mie najiuliza kwanini tunachanganyikiwa kirahisi sana? Kama tunajua hatuwezi kutuliza akili tukiwa under pressure bora kutumia vizuri nafasi tunazo pata hili kuwa katisha tamaa wapinzani.

Timu inapoona goal difference ni moja tu inakuwa na nguvu ya kusawazisha na sisi hapo ndio tunaanza kuchanganyikiwa na kupoteza muelekeo kabisa.

Makosa ni yale yale kila siku na kama ulivyosema Wenger anahitaji plan B na awe sharp kusoma game hili aweze kufanya mabadiliko yanayofaa wakati muafaka .

Mr. Bean is too old to learn a new technique.
 
Napenda Mbu na AW mnavojibizana kwa hoja, i wish na sie wengine tuige hii kitu, of coz mara moja moja...

Back to Matani: Weeeee mosquito net a.k.a Mbu...mbn hujibu hoja zangu?, au niko ktk ignore list yako? BTW ulifika salama jana?

...hahaha...mtani niliijibu mbona kule kule kwa teamo mchana huu?...nimefika salama bro...
nikirudia jibu, soulmate atakuletea ile zawadi,...nitampa maelekezo...kwangu muda haukunitosha
majukumu yalinizidi bana..ukichanganya na foleni namgao basi aarrghhhh...

kabisa mkuu statistics zinajieleza 23 shots, 13 corners, 69% possession na mabao 2 ya kujifunga? Hii inadhihirisha wazi kwamba tulikontroo mechi na bado tumeishia kufungwa, sijui ndio bundi kahamia kwetu mwaka huu daah!!

...kweli, na arsene wenger analysis mnayo wenyewe hapo jamani, gaffer aka le professeur, au mtaalamu arsene wenger analaumika kwa lipi hapo sasa?

hebu ifike wakati tuwalaumu wachezaji jamani.... kama umaliziaji ni mbaya baada ya possessions zote hizo, shots zote hizo, ...kocha analaumika kwa lipi? au yeye ndio mfungaji pia? the tactics are right, preparations are right, usajili ulikuwa makini, ...mimi naamini hata tungemsajili top goal scorer, bado matokeo yangekuwa hayohayo...

bado sijaona udhaifu wa team ila umaliziaji....tuwe realistics kidogo,....umaliziaji ndio unatuangusha arsenal na hili
hata arsene mwenyewe huwa anali address mara kwa mara, we dont kill the games....
kazi ya manager siku zote ni kuandaa tactics na wachezaji,....wakishaingia uwanjani, manager anabakia kama sisi washabiki
...kusubiria wachezaji kumi na moja wa deliver the results...
 
Mwisho wa siku mid table signings equals mid table team mpaka TV5 na Wilshere warudi mtakuwa msharuhusu magoli mangapi au kuachia ushindi mara ngapi? Strikers wengi sasa hivi watakuwa wanahamu ya kucheza na Arsenal.
 
...hahaha...mtani niliijibu mbona kule kule kwa teamo mchana huu?...nimefika salama bro...
nikirudia jibu, soulmate atakuletea ile zawadi,...nitampa maelekezo...kwangu muda haukunitosha
majukumu yalinizidi bana..ukichanganya na foleni namgao basi aarrghhhh...

...kweli, na arsene wenger analysis mnayo wenyewe hapo jamani, gaffer aka le professeur, au mtaalamu arsene wenger analaumika kwa lipi hapo sasa?

hebu ifike wakati tuwalaumu wachezaji jamani.... kama umaliziaji ni mbaya baada ya possessions zote hizo, shots zote hizo, ...kocha analaumika kwa lipi? au yeye ndio mfungaji pia? the tactics are right, preparations are right, usajili ulikuwa makini, ...mimi naamini hata tungemsajili top goal scorer, bado matokeo yangekuwa hayohayo...

bado sijaona udhaifu wa team ila umaliziaji....tuwe realistics kidogo,....umaliziaji ndio unatuangusha arsenal na hili
hata arsene mwenyewe huwa anali address mara kwa mara, we dont kill the games....
kazi ya manager siku zote ni kuandaa tactics na wachezaji,....wakishaingia uwanjani, manager anabakia kama sisi washabiki
...kusubiria wachezaji kumi na moja wa deliver the results...

Kwanini kocha asilaumiwe kwa kusajili wachezaji wasiojua kumalizia?! Kwanini asisajili wafungaji wazuri?
 
Lakini mwaka mzuri huu kwa Arsenal fans, mtaangalia mechi nyingi bila kulipia ticket.
 
Kweli kabisa mkuu wachezaji wa kulaumiwa, na kuna sehemu nyingi tumesema kwamba wachezaji hawajitumi au wanashindwa kumalizia nafasi muhimu.

Sasa mchezaji anapofanya uzembe kama huo nani anakuwa na maamuzi ya kumtoa na kumpa maelekezo mchezaji anayekuja aende kufanya vitu tofauti?

Mie naamini mabadiriko wakati wa game yakifanyika mapema huwa yana badilisha mchezo.

Maoni yangu ni kwamba Wenger yuko soft sana kwa wachezaji wake.
 
Uzembe tu watoto hao wacha waazibiwe kwanza yaani timu inachezea shilingi chooni halafu ikidumbikia analia ..............leo ni kosa la wenger kama manager sielewi kwanini B'youn, walcott, gibbs walikua nje.
Pole yangu iwafilkie Mbu,AW, kweli n Co. NB: WACHA timu itakurudishia gharama za usafiri ..............
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kina Aguero na Dzeko wanatamani kucheza na Arse8 next week
 
Well nilipata ugeni hivyo sikuweza kuwa online, baada ya kuangalia mechi tena on the second time - recorded naona hatuna tatizo kubwa ki-vile wengi wanavyofikiri, blackburn walipata some breaks ambazo zimewasaidia kushinda mechi ya leo, goli lao la tatu lilikuwa la kuotea moto na sisi Walcott amenyimwa penalty ambayo ni clear.

Tatizo la midfield na defence tunawa-miss sana T5 na Jack, I hope they will be back soon. Bado EPL mechi ni nyingi tutamaliza kwa kishindo.
 
Uzembe tu watoto hao wacha waazibiwe kwanza yaani timu inachezea shilingi chooni halafu ikidumbikia analia ..............leo ni kosa la wenger kama manager sielewi kwanini B'youn, walcott, gibbs walikua nje.
Pole yangu iwafilkie Mbu,AW, kweli n Co. NB: WACHA timu itakurudishia gharama za usafiri ..............

Wacha utukutu wewe lini ulikuwa manager? khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Tukubali kuwa ujuzi wa Wenger umefikia mwisho hawezi tena kuimprove. Hopefully he'll b sucked soon and very soon!
 
Well nilipata ugeni hivyo sikuweza kuwa online, baada ya kuangalia mechi tena on the second time - recorded naona hatuna tatizo kubwa ki-vile wengi wanavyofikiri, blackburn walipata some breaks ambazo zimewasaidia kushinda mechi ya leo, goli lao la tatu lilikuwa la kuotea moto na sisi Walcott amenyimwa penalty ambayo ni clear.

Tatizo la midfield na defence tunawa-miss sana T5 na Jack, I hope they will be back soon. Bado EPL mechi ni nyingi tutamaliza kwa kishindo.

What a Yak!!
 
kabisa mkuu statistics zinajieleza <b><font color="#ff0000">23 </font></b>shots, <b><font color="#ff0000">13 </font></b>corners, <font color="#ff0000"><b>69%</b></font> possession na mabao <b><font color="#ff0000">2 </font></b>ya kujifunga? Hii inadhihirisha wazi kwamba tulikontroo mechi na bado tumeishia kufungwa, sijui ndio bundi kahamia kwetu mwaka huu daah!!
<br />
<br />
Hapo AW huwezi mlaumu kabisa. Wachezaji wabinafsi sana na imetu-cost leo. Kibarua kikitaka kuota mbawa hakuna wakuzuia kwani Mungu anagawa riziki kwa wengine hivyo yanayojitokeza kwa Wenger ni vijisababu vinajitokeza ili akimbizwe Emirates. Salama kwakwe abadilike, awe mkali, asiruhusu uzembe apige watu bench ili wajifunze etc
 
Hahahahaha! wapi wacha kaboy?, naona anapiga chabo kwa mbaliiiiiiii!!!?.....khekheeeeeeee!

Vipi unaniota nitakuletea samaki toka Alaska khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Cesc, Nasri na Clinchy wanafurahi sana leo

Chacha hao sio wachezaji wa ARS au hujui? Wapinzani ni lazima washehereke au hujui? khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Msimu huu utakuwa mrefu sana, mbaya zaidi ndio kwanza umeanza.

Usiwe na shaka mkuu mathematically unatakiwa at least kupoteza mechi 8, Je tumepoteza ngapi .... ... hii itawaweka wachezaji kwenye balance check nzuri lakini, kuna matokeo ambayo huwa huwezi kuyabadili, mchezo wa leo kwenye mvua ulikuwa special, kujifunga two goals na referee kutubana, mpunga aliopokea kutoka kwa mafioso umefanya kazi.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Tukubali kuwa ujuzi wa Wenger umefikia mwisho hawezi tena kuimprove. Hopefully he'll b sucked soon and very soon!

Usiwe na shaka kaka prof haendi kokote, usione watukutu wanajalilia kuiandama ARS kwa sababu mziki wake ni mkubwa, hawa wote wanabwabwaja kwa sababu wanafahamu timu tishio ni ipi, hao Mancs chijui Chelsick na timu ya mashoga wasikupe hofu EPL bado ndefu sana ingawaje tunajikongoja ... ... .... .. .
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom