Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Match Stats

Arsenal​

BB ___________________ARS
[TABLE="class: mod-data, width: 0"]
[TR="class: odd, bgcolor: transparent"]
[TD="bgcolor: #F1F1F1"]8(4)[/TD]
[TD="bgcolor: #F1F1F1"]Shots (on Goal)[/TD]
[TD="bgcolor: #F1F1F1"]23(9)[/TD]
[/TR]
[TR="class: even, bgcolor: transparent"]
[TD="bgcolor: #FFFFFF"]14[/TD]
[TD="bgcolor: #FFFFFF"]Fouls[/TD]
[TD="bgcolor: #FFFFFF"]11[/TD]
[/TR]
[TR="class: odd, bgcolor: transparent"]
[TD="bgcolor: #F1F1F1"]2[/TD]
[TD="bgcolor: #F1F1F1"]Corner Kicks[/TD]
[TD="bgcolor: #F1F1F1"]13[/TD]
[/TR]
[TR="class: even, bgcolor: transparent"]
[TD="bgcolor: #FFFFFF"]2[/TD]
[TD="bgcolor: #FFFFFF"]Offsides[/TD]
[TD="bgcolor: #FFFFFF"]1[/TD]
[/TR]
[TR="class: odd, bgcolor: transparent"]
[TD="bgcolor: #F1F1F1"]31%[/TD]
[TD="bgcolor: #F1F1F1"]Time of Possession[/TD]
[TD="bgcolor: #F1F1F1"]69%[/TD]
[/TR]
[TR="class: even, bgcolor: transparent"]
[TD="bgcolor: #FFFFFF"]2[/TD]
[TD="bgcolor: #FFFFFF"]Yellow Cards[/TD]
[TD="bgcolor: #FFFFFF"]1[/TD]
[/TR]
[TR="class: odd, bgcolor: transparent"]
[TD="bgcolor: #F1F1F1"]0[/TD]
[TD="bgcolor: #F1F1F1"]Red Cards[/TD]
[TD="bgcolor: #F1F1F1"]0[/TD]
[/TR]
[TR="class: even, bgcolor: transparent"]
[TD="bgcolor: #FFFFFF"]6[/TD]
[TD="bgcolor: #FFFFFF"]Saves[/TD]
[TD="bgcolor: #FFFFFF"]2[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

With stats like this and end up on the loosing side must be very painful. Wenger should concentrate on his defense maana kuna watu wanapenda sifa kama Man City wanaweza shusha kipigo kikubwa sana

....hii ni premier league,...mlitegemea kila team itafungwa tu?
together we stand jamani,...acheni kukata tamaa hovyo.

i trust and support arsene wengers arsenal kufa na kupona!

Kuna kufungwa kwingine mkuu unaona powa tu kwani wachezaji wako wamejituma vya kutosha sema na timu nyingine ndio inakuwa imejituma zaidi au bahati sio yenu.

Matokeo ya leo ni uzembe kwani tulikuwa tume control game na tumeshindwa kuwamaliza wenyewe kwa vile tuko relaxed sana. Htuoneshi nia ya ushindi.

Kama tunavyoponda ajali za kizembe kila siku lazima tuponde matokeo ya kizembe kwenye timu yetu pia mkuu. Au unataka tuwe kama magamba kila kitu kazi ya Mungu? lol

Short pieces bado tatizo kwetu, on the positve side hii 4-3-3..naona ni combination nzuri.

Kuna kufungwa kwingine mkuu unaona powa tu kwani wachezaji wako wamejituma vya kutosha sema na timu nyingine ndio inakuwa imejituma zaidi au bahati sio yenu.

Matokeo ya leo ni uzembe kwani tulikuwa tume control game na tumeshindwa kuwamaliza wenyewe kwa vile tuko relaxed sana. Htuoneshi nia ya ushindi.

Kama tunavyoponda ajali za kizembe kila siku lazima tuponde matokeo ya kizembe kwenye timu yetu pia mkuu. Au unataka tuwe kama magamba kila kitu kazi ya Mungu? lol

Mimi naamini kabisa tatizo la Arsenal ni la kisaikolojia zaidi just as was with W Rooney last season. Yaani wkicheza na team inayoshambulia kwa kasi basi wachezaji wote wanapatwa na hofu na kupoteana uwanjani. With proper treatment they will overcome their fears and start playing with style, flair and purpose as we have always known them. The problem is there might not be enough time.

Kuna kufungwa kwingine mkuu unaona powa tu kwani wachezaji wako wamejituma vya kutosha sema na timu nyingine ndio inakuwa imejituma zaidi au bahati sio yenu.

Matokeo ya leo ni uzembe kwani tulikuwa tume control game na tumeshindwa kuwamaliza wenyewe kwa vile tuko relaxed sana. Htuoneshi nia ya ushindi.

Kama tunavyoponda ajali za kizembe kila siku lazima tuponde matokeo ya kizembe kwenye timu yetu pia mkuu. Au unataka tuwe kama magamba kila kitu kazi ya Mungu? lol

...dahhh, hata wewe mkuu umeikatia tamaa team? ama kweli 'pupwe lina msisimo kwa kondoo mwenye manyoya haba'...
kunywa funda mbili tatu za maji bana, nakutegemea humu... we will be back mkongwe!

How many losses shall we swallow, before we call it quits for our manager?

...And whom shall replace him with our current board members? sam allardyce?...or harry redknapp? martin jol is also available, hahhh!...cum on...give me your best shot a top manager who can work with a current structure which governs our club!

Ukweli ni kwamba bado mna tatizo la beki wa kati,Samba alikuwa the best choice sijaona tofauti kabla na baada ya kufanya usajili

...dahhh, hata wewe mkuu umeikatia tamaa team? ama kweli 'pupwe lina msisimo kwa kondoo mwenye manyoya haba'...
kunywa funda mbili tatu za maji bana, nakutegemea humu... we will be back mkongwe!

Mkuu tuko pamoja kama kawaida, kwenye makosa ni muhimu kutambua makosa na kama tukishindwa kuyatambua basi hatutaweza kurekebisha.

Ni vigumu kwangu kujifanya kila kitu kinaenda sawa wakati upungufu unaonekana. Ligi ngumu msimu huu inabidi Wenger afanye mambo haraka sana. Wachezaji tunao sema Wenger mpaka sasa hivi hajaijua first 11 yake au kuna wachezaji anajaribu kuwabeba kutegemea matokeo tofauti.

Arshavin mzigo, Ramsey bado kidogo hayupo tayari kuanza. Walcott nae huwa anatuangusha sio kila mechi anakuwa powa.

Zaidi ya hapo tusubiri Wilshere apone na Varmelen tuendelee kuangalia matokeo.

Natambua hali halisi tulio pitia hapo nyuma lakini pia ni muhimu kutumia nafasi kuchukua ushindi pale tunapopata. Leo tumeuza game.

Mda upo wa mabadiriko lakini pia ni muhimu kutambua mapungufu yetu ya sasa hivi kwani siku ya mwisho matokeo yote yana jumalishwa pamoja.

PROUD TO BE A GOONER.

...dahhh, hata wewe mkuu umeikatia tamaa team? ama kweli 'pupwe lina msisimo kwa kondoo mwenye manyoya haba'...

kunywa funda mbili tatu za maji bana, nakutegemea humu... we will be back mkongwe!

...And whom shall replace him with our current board members? sam allardyce?...or harry redknapp? martin jol is also available, hahhh!...cum on...give me your best shot a top manager who can work with a current structure which governs our club!

Mnichukie msinichukie,kama wenger akiwa sacked mi nataka aje wajina wangu Martin O'neil na si vinginevyo.

Hahahaha! hujambo rafik angu Jagi?..ooops! unakumbuka maneo yangu mda uleeeeee?, lol! Wap Msarendo?

Mkuu tuko pamoja kama kawaida, kwenye makosa ni muhimu kutambua makosa na kama tukishindwa kuyatambua basi hatutaweza kurekebisha.

Ni vigumu kwangu kujifanya kila kitu kinaenda sawa wakati upungufu unaonekana. Ligi ngumu msimu huu inabidi Wenger afanye mambo haraka sana. Wachezaji tunao sema Wenger mpaka sasa hivi hajaijua first 11 yake au kuna wachezaji anajaribu kuwabeba kutegemea matokeo tofauti.

...sasa kamanda,... hebu wewe niwekee 1st eleven ambayo ungewapanga wewe wacheze leo...[kwa mtazamo wako] on behalf of your namesake...

Arshavin mzigo, Ramsey bado kidogo hayupo tayari kuanza. Walcott nae huwa anatuangusha sio kila mechi anakuwa powa.

Zaidi ya hapo tusubiri Wilshere apone na Varmelen tuendelee kuangalia matokeo.

Natambua hali halisi tulio pitia hapo nyuma lakini pia ni muhimu kutumia nafasi kuchukua ushindi pale tunapopata. Leo tumeuza game.

Mda upo wa mabadiriko lakini pia ni muhimu kutambua mapungufu yetu ya sasa hivi kwani siku ya mwisho matokeo yote yana jumalishwa pamoja.

PROUD TO BE A GOONER.

tupo pamoja,....lakini kama unakubali kuna pengo la majeruhi, TV5 na Wilshere huoni mfumo wa uchezaji nao unaathirika?together as one bro,...sio nakuchallenge la hasha, najaribu kuangalia upande wa pili wa shilingi....

Well said...ukigombea ubunge ntakupa kura yangu kwa sbb unasema ukweli. Gud Boy.
Mficha uchi azai bana.

Hakuna excuse, ila makosa yetu wenyewe na wa kubeba lawama ni Wenger kwa kushindwa kubadili tactics, hivi ndio hakuna plan B kwa Professa? Mfano nilishangaa kuona akimtowa Andre na sio Gervinho? Andre leo gemu ilimkubali na alikuwa anawasumbua sana difensi ya Blackburn, nahisi kama angebakia na kuingia Theo na kucheza kama 2nd striker kwa staili ya 4-4-2, kwa sababu kwa mtindo wa 4-3-3 na mido 3 jamaa walikuwa wanakatiza sana pale kati na tatizo hili ni hata ile mechi ya ManU.
Mikel yuko poa ila Aaron pamoja na kuwa ni mzuri lakini hayuko creative na gemu yake huwa hawezi kusaidia difensi mfano wa Jack. Kwa nini AW kwa muda huu kwa vile tumewakosa Jack na TV5 asibadilike na tukacheza 4 in the middle ili kuwapa extra security difensi yetu?
Anyway Professa ndio anajua ila kuachia mabao 14 katika mechi 5 sio mchezo, tunaongoza katika ligi kwa rekodi ambayo sio familia kwetu kwa kufungwa mabao mengi. Wenger lazima aamke sasa ili kuunusuru msimu wetu.
Matatizo yetu makubwa ni mawili:
1. Difensi yetu inasumbuka kwenye kona na free-kick na hii ni dhahiri kutokana na idadi nyingi ya mabao ambayo tumefungwa ni aidha kona ama free-kicks, ukiachilia hii mpya ya leo ya kujifunga. Kwa kumkosa TV5 hakuna calm influence kwa CB zetu, Per bado hajachanganya na Djourou na Koscielny ni ajali tupu, hawakawii ku-panick.
2. Mido yetu ni nyepesi - kuondoka kwa Samir na Cesc na ukichanganya na majeruhi ya Jack tumebaki watupu hapa kati, Mikel ni ongezeko zuri ila bado jukumu la ku-supply zile service kwa RVP in zito kwake. Aaron pamoja na uzuri wake ameshindwa kupeleka service kikawaida ingawa namsifu sana kwa pasi yake kwa Mikel iliyotupatia bao la pili.

Napenda Mbu na AW mnavojibizana kwa hoja, i wish na sie wengine tuige hii kitu, of coz mara moja moja...

Back to Matani: Weeeee mosquito net a.k.a Mbu...mbn hujibu hoja zangu?, au niko ktk ignore list yako? BTW ulifika salama jana?

• Thanks
Reactions: Mbu

...sasa kamanda,... hebu wewe niwekee 1st eleven ambayo ungewapanga wewe wacheze leo...[kwa mtazamo wako] on behalf of your namesake...

tupo pamoja,....lakini kama unakubali kuna pengo la majeruhi, TV5 na Wilshere huoni mfumo wa uchezaji nao unaathirika?together as one bro,...sio nakuchallenge la hasha, najaribu kuangalia upande wa pili wa shilingi....

Ligi tumeanza vibaya mkuu. Kama mimi ndio Wenger leo katika kikosi chake ningemuongezea Walcott ( badala ya Arshavin. jamaa huyu sas a hivi bora awe super sub tu, Benayoun (Badala ya Ramsey, dogo bado kidogo na pia ametoka injury angekuja kama sub), mwisho Gibbs ( respect kwa Santos lakini kutokana na perfomance ya Gibbs game mbili za mwisho leo alitakiwa kubaki na namba yake).

Kuhusu kutambua majeruhi ya Wilshere na TV5, ndio natambua lakini haiku affect matokeo ya game ya leo. Kumbuka ninacho jaribu kuangalia leo sana ni jinsi tulivyoweza ku-control game lakini tumeshindwa ku-focus kwenye game na kutumia nafasi tulizo pata za wazi.

Leo game tumeipoteza wenyewe na mwisho Wenger anatakiwa hawe tough kwa wachezaji wake. Majeruhi yatakuwepo na yataendelea kuwepo, ni muhimu wachezaji wanaopewa nafasi watambue umuhimu kwenye kusaidia timu.

Wala usiwe na wasi wasi mkuu wala huni challenge ni vizuri kuangalia timu yetu kwa kila upande na mwisho wa siku ni maoni yetu tu mkuu.

Pamoja mkuu kama kawaida.

kabisa mkuu statistics zinajieleza 23 shots, 13 corners, 69% possession na mabao 2 ya kujifunga? Hii inadhihirisha wazi kwamba tulikontroo mechi na bado tumeishia kufungwa, sijui ndio bundi kahamia kwetu mwaka huu daah!!

So far Arsenal kwenye table wako nafasi ya 15. AW tatizo lake liko palepale kwamba ni mwalimu mzuri ila tatizo technically wakati wa game ni 0

Back
Top Bottom