Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,444
Naona hali ya Wenger inazidi kuwa mbaya!
Kwa mwaka huu i si mchezo. tusije kuwa ama Liverpool mwaka jana Lakini misimu kibai ya nyuma tumeanza vizuri tukashindwa kumalizia labda mwaka huu ni vice versa. teh teh teh
Hivi na wewe Rejao ni shabiki wa timu gani vile ?