Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naomba uwakumbushe Manunu jana Man City walikuwa wanafanya rehearsal ya weekend🤠🤠...sisi tutakuwa tupo pembeni tunakula bisi huku tunaangalia ugomvi wa vijana wa mtaa mmoja
Tuwaache manyumbu wapambane na hali yao. Wakishinda watampunguza spidi kidogo mamacita. Wakifungwa wataanza kupotezwa mdogo mdogo kwenye kupambania top 4 na top 6. Waamue wenyewe wanataka nini 😄😄
 
Tuwaache manyumbu wapambane na hali yao. Wakishinda watampunguza spidi kidogo mamacita. Wakifungwa wataanza kupotezwa mdogo mdogo kwenye kupambania top 4 na top 6. Waamue wenyewe wanataka nini 😄😄
Kwangu mm binafsi yule ambaye atakuwa dhaifu apigwe hata Wiki au hata goli 8...na wte hapa tunajua dhaifu ni nani kwakwli🤠🤠
 
🚨BREAKING: Jurrien Timber has now returned to full first-team training.
20240228_155939.jpg
 
Mykhailo Mudryk was in tears on the phone to Arsenal asking them to do something as he was on his way to the airport. (@Teamnewsandtix following on from @TheAthleticFC report on the Mudryk collapsed transfer to Arsenal) #CFC

Huyu dogo tutaenda kumchukua kwa mkopo
 
Kwamba Chelsea ili kumfosi Mudryk kwenda darajani ikabidi wacheze mechi ya kirafiki na Shakhtar Donetsk.

Kisha Mudryk akapiga simu Arsenal huku analia.

Screenshot_2024-02-28-17-44-47-671_com.twitter.android-edit.jpg
 
Mkuu hivi vipengele ni vinawekwa pia kutia ugumu baadhi ya malipo. Martial wa United na yeye ana kipengele cha Ballon D'Or lakini mi naamini Martial hatokuja ipata Ballon D'Or.

Mudryk siyo mbaya, ila angekua na kazi ya kumnyang'anya namba best shooter wa Arsenal na kwa games nilizomuona Mudryk mimi naona anazidiwa finishing na front three yote ya Arsenal.
Ila angekua mzuri kutengeneza nafasi.
. . .
 
Chini ya hii niliandika Arsenal ingepata tabu kumuacha Martinelli kwa ajili ya Mudryk.

Kuna member akasema Mudryk kawekewa kipengele akipata Ballon D'Or kuna add ons na roho inamuuma hajaja Arsenal nikamjibu hata Martial ana kipengele hicho hicho.

Leo namuangalia Mudryk hadi muda anatoka naona ni kweli Arsenal tusingepata shida kujua tumuweke benchi our best shooter ama la. Beki akimfanyia take on Martinelli utamuona kijana yupo nyuma anakimbiza mpira, ila Mudryk pace yake haitumii kumsaidia kulinda
. . .
 
Niliwahi andika hapa so nitarudia tu.

Kwa pace ya Mudryk na magoli aliyofunga kabla hajaja chelsea Mudryk ana poor finishing na poor composure.

Na debut yake akaprove nilichoandika.

Na akaprove tena na tena na tena na tena.

Nikaandika pia Mudryk ni winger anacheza kwa Martinelli, na Martinelli msimu uliopita ndiye best shooter wa Arsenal na ndiye top goal scorer

Je utamuweka benchi best shooter na top goal scorer? No.

Je utanunua back up kwa 95M? Jibu linakuja tena hapana.

Zamani 95M inakupa finished article. Hata 65M inakupa finished article ila siku hizi unanunua mchezaji kwa 80M ili uje kumfundisha mpira, ndiyo kingetukuta kwa Mudryk.

Ameenda chelsea, chelsea isajili ST kisha wamuweke Mudryk kama SS itawasaidia.
. . .
 
Mudryk is far better kwa kai , hakuna hata mmoja hapa anaepinga chelsea last season ilikua mbovu na mudryk kaenda blues january.
Mudryk the way anavyocheza unaona kabisa huyu dogo anakila kitu tumemuona akiwa shakhtar kwenye UEFA alikuwa hata baadhi ya game alizopata nafasi hajafanya vibaya kacheza vizuriii tu na hata hizi pre season yuko vizurii this season huyu dogo itakuwa habari nyingine kabisa chelsea.

Huyu mudryk kipindi kile anatakwa na arsenal watu walikua wanasifu sana mara ooh ni neymar mpya nashangaa now vijana wanaponda tu kisa kaenda chelsea , ushabiki wa kitoto sana huu .
Mudryk na kai still mudryk ni far better kwa kila kitu naamini this season tukipata muda tutarudii tuone nan kafanya vizuriii zaidiii . Flop ni pale unapopewa chance na haufanyi chochote nembu tuonyeshe u flopp wa mudryk hata kwa kutaja game 1 tu ya zilizopita
Tumeishia wapi kwa Mudryk kua hatari nyingine hapo chelsea?
 
Back
Top Bottom