verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,150
- 6,256
Dubai mpango mzima kwa sisi wataalam wa ku-win duelsMechi 3 muhimu ndani ya wiki 2 za kupiga watu 5G au zaidi. Sheffield 4/3/24, Brentford 9/3/24 na Porto 12/3/24.
Baada ya hapo ni Mamacita 31/3/24. Tuishie zetu dubai baada ya Porto tukapige tena ile alkasusu kabla ya Mamacita.
Au mnasemaje wana ganaz?