Andika arsenal, itakuja game yetu vs everton. Utaona lineups baada ya kuibofya game.Mwenye habari na STARTING TEAM NEWS tafadhali...
😟😰
Kumbe game ni saa 12 na nusu.. subiri lisaa kabla ya game ndio ugoogle utaona kikosi.Mwenye habari na STARTING TEAM NEWS tafadhali...
😟😰
Lineup imeanza kuvujaMwenye habari na STARTING TEAM NEWS tafadhali...
[emoji45][emoji27]
Chini ya hii niliandika Arsenal ingepata tabu kumuacha Martinelli kwa ajili ya Mudryk.Siku hizi timu nyingi hazitukabii kwa high line tumekua wazuri kwenye kupasi na kukaa kwenye njia kitu kimoja tulichobakisha ni wingers wetu kua finishers zaidi ya sasa
Game dhidi ya Leicester, dakika ya 16 Jorginho anapiga thru ball nzuri ndefu inamkuta Saka lakini Saka akawa anasubiri wenzake wajae. Prime Salah/ Roben alikua anaingia kwenye boksi na kujaribu kucut in na kuscore.
Kuna chip pass moja Partey alimsukumia Nketiah game ya jana, Nketiah akauwahi mpira vizuri bahati mbaya kipa alishatokea. Katika shooting tunasema ni bora ulenge target kuliko utoe mpira nje kabisa. With that sense kosa ya Nketiah inatia matumaini kuliko kosa ya Odegaard dhidi ya Villa.
At some point hua najiuliza vipi kama Mudryk angekuja? Angeweza kumuweka bench Martinelli? Na hivi hatuna Carabao wala FA.
Sidhani Kama kabadili formation Ni ile ile 4-3-3Havertz benchi.
Arteta nahisi alidhani washkaji watakuja na 5 4 1 amewajia na 4 2 3 1 Vieira kaanza.
Na Raya ameanza