J wizzy
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 459
- 537
Mawazo yangu kwenye dirisha kubwa tuongeze hawa [emoji1484];Watkins. Ila bila 100 na zaidi simuoni akija.
Tusihangaike na striker wa gharama sana. Tutafute kijana mpambanaji, mwenye speed na nguvu aina ya Alexis Sanchez na Luis Suarez kutoka South America huko. Tumpate mapema ili aanza pre-season na ikibidi tusagure ulaya tupate aliyeanza timu za ulaya tayari ili mambo ya permit yasisumbue.
Halafu tutafute winga hatari mithili ya Saka, na kiungo mithili ya Partey.
Kama Partey atatuaga June, naona Jorginho atabaki kwa mwaka mmoja. Atasaidia kumuingiza mdogo ndogo kiungo mpya kwenye mfumo.
CB-De ligt au Hato.
Midfielder-De Jong au Zubimendi.
Winger-Neto.
Striker-Mniletee yeyote tu
Lakini kwa akili yangu mlete (Ollie Watkins au Goncalo Ramos).
Kisha Toa kwa mkopo msimu mzima wakakomae zaidi;[emoji1484]
Albert Sambi Lokonga.
Emily Smith-Rowe.
Kisha UZA hawa [emoji1484];
Eddie nketiah.
Nelson.
Ramsdale.
Elneyn.
Marquinhos.
Partey.
Naamini kazi itakua Safi sana.