Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wewe ndo hata sijuiii unaongea nini [emoji23][emoji23] kipindi kipi icho arsenal imecheza bila saka sijuii odergard sijuii martineli .
Newcastle ina zaidi ya 12 injuries player wewe unataja injuries za game moja moja.

Hao wachezaji unaowataja sijui martineli sijui saka wote hao nitajie mchezaji alimyezidi tu gordon magoli achana na isak na wilson.

Timu nzima Hamna mchezaji mwenye goal nyingi kumshinda gordon tu.

Ndo nilichokuambia arsenal kitu pekee unachojivunia ni kukaa hio nafaso uliyopo ambayo technicaly unapasha joto tu kiti cha watu hapo.
.
 
Tulikua tunaongelea player comparison sasa unaleta habari za total goals tena

Anyway arsenal mpaka sasa mna goal scored 33 na mmefungwa 14

Newcastle tuna goals 32 then conceded goals 17.
Naona kwenye individual players umeamua kukimbia [emoji23][emoji23]
Lete tena
 
Kuna mwenzako humu humu alikataza nisiwe na mquote [emoji23] inamletea trauma, alikua analeta maneno matupu then mimi naleta ushahidi mezani mwisho wa siku akawaka matusi kibao .

Nikuulize mpaka sasa tunavyoongea saka kamzidi nini gordon ? Kitu pekee saka alichomzidi gordon ni dakika za kucheza tu View attachment 2837080
Vitu pekee saka kamzidi gordon ni dakika za kucheza na error leading to goal.

Nitajie saka kamzidi nini gordon mpaka tunavyoongea hapa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Huyo Mwehu wa Newcastle mnayepigizana nae kelele anawapotezea muda aisee

Alidai wao wana timu Bora ,mbona UCL wanshika mkia kwenye Ligi wanachezea vipigo


Sasa kelele zake zinatokea wapi,?

Wiki Hii wanaenda kupigwa na AC Milan hawaend hata UCL ,ili kelele ziishe humu
.
 
Star boy
IMG-20240227-WA0077.jpg
 
Martin Ødegaard on “who makes team better”

“I’ll say Thomas Partey, he gives me and the other players a lot of freedom…”
.
.
Arteta ; “we play better with Thomas Partey”
.
.
.
Fully fit Thomas Partey walks straight into the starting X

Maji wataita mma
IMG-20240220-WA0043.jpg
 
Martin Ødegaard on “who makes team better”

“I’ll say Thomas Partey, he gives me and the other players a lot of freedom…”
.
.
Arteta ; “we play better with Thomas Partey”
.
.
.
Fully fit Thomas Partey walks straight into the starting X

Maji wataita mmaView attachment 2918575
Huyu jamaa 🙁🙁 Ghanaian Santi Cazorla
 
Naomba uwakumbushe Manunu jana Man City walikuwa wanafanya rehearsal ya weekend🤠🤠...sisi tutakuwa tupo pembeni tunakula bisi huku tunaangalia ugomvi wa vijana wa mtaa mmoja
Tuwaache manyumbu wapambane na hali yao. Wakishinda watampunguza spidi kidogo mamacita. Wakifungwa wataanza kupotezwa mdogo mdogo kwenye kupambania top 4 na top 6. Waamue wenyewe wanataka nini 😄😄
 
Tuwaache manyumbu wapambane na hali yao. Wakishinda watampunguza spidi kidogo mamacita. Wakifungwa wataanza kupotezwa mdogo mdogo kwenye kupambania top 4 na top 6. Waamue wenyewe wanataka nini 😄😄
Kwangu mm binafsi yule ambaye atakuwa dhaifu apigwe hata Wiki au hata goli 8...na wte hapa tunajua dhaifu ni nani kwakwli🤠🤠
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom