Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,125
- 7,525
Goli nyingi mno, control ipo hapo, Partey is too direct. Havertz ni upgrade ya Xhaka offensively, afu Rice anaziba pengo la Xhaka defensively plus Timber. So havertz, ode, rice, timber that's my midfield.Mchezaji mpya wa Arsenal Kai Havertz anasema anafurahia nafasi yake mpya kama kiungo wa kati wa upande wa kushoto.(LCM)
[emoji2788] Havertz:
“Ninapata mpira zaidi, ninahusika zaidi kwenye mchezo. Nadhani nina nafasi nyingi ya kuboresha - bado ninajirekebisha. [Lakini] hadi sasa ninafanya kazi vizuri.” [emoji629] View attachment 2701300