Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hahahahaha! punguza umbea na ww mkulima...kesho zamu yako kusasambuliwa......! hahahahaha! khekheeeeeee!

Old Trashford is a home ground for Chelsea. Kesho tunamfungasha virago De Gay kama tulivyomfanya Massimo Taibi.
 
Hakuna game rahisi tunaweza kuapata huko mbeleni kama hii.

Bado Wenger anasubiri kuleta mchezaji mwingine wa mwisho.
kaingia maruhani samaki

Poleni watani........... Naona bundi anaatamia mayai kabisaaaa sasa

wapi kware?
 
kuwapiga wale vibonde Swansea kwa Taabu.......then ka draw ka bahati nasibu kule Ujerumani kuanzia AW, Msaidizi wake, Mimi na wengineo kibao tukajua yap gari limewaka kumbe bado lina miss bwena..... Ngoja nione AW atakuja na story gani......... So far hakuna spirit ya Ushindi.......Ni majonzi everywhere......
 
Hahahahaha! wapi wacha kaboy?, naona anapiga chabo kwa mbaliiiiiiii!!!?.....khekheeeeeeee!
 
kuwapiga wale vibonde Swansea kwa Taabu.......then ka draw ka bahati nasibu kule Ujerumani kuanzia AW, Msaidizi wake, Mimi na wengineo kibao tukajua yap gari limewaka kumbe bado lina miss bwena..... Ngoja nione AW atakuja na story gani......... So far hakuna spirit ya Ushindi.......Ni majonzi everywhere......

Hule usajili wa mwisho ulitokana na kipigo cha United, jamaa mpango wao walikuwa wauchune. Matokeo yake ndio haya sasa tunaanza upya.
 
kaingia maruhani samaki

Poleni watani........... Naona bundi anaatamia mayai kabisaaaa sasa

wapi kware?

anajiharishia sasa hivi na keyboard anaiogopa! khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!
 
Kwa kingereza changu cha St. Govt naweza sema kuwa Per is very LONG...Angekua short tungeambulia DRAW......
 
Back
Top Bottom