Peasant
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 3,949
- 699
Tunafungwa magoli ya kizembe sana, too many stupid goals, ndio tulisema tunataka mabeki wa kueleweka, hawa akina koscielny wataendelea kutu-cost mechi hadi mechi.
In my book, Arsenal kuna mabeki wa maana wawili tu, Sagna na TV5....waliobaki ni mid-table au Championship team players! Per Mertesacker is too slow, mpaka a-adapt kasi ya EPL mtakuwa mmeshaumia vya kutosha.