Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
Kona nyingi, no results, inabidi kubadili style ya upigaji kona
Timu yako inacheza lini UEFA??kabla ya kuandika UCHOKO wako jibu hili kwanzaNyie kondoo nawakumbusha mpk half tym hamna hata on target moja, na hao ni porto tu. Hapo hamjaletewa Madrid mlokua mnawataka.
MAsingeli aachage kuwadanganya kuwa mtaweza kumfunga madrid, mwombeni mungu awaepusheni nao msije mkatutia aibu mkafungwa magoli y basketi.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Maliza mpira nikalale
Game imeboa sana hiiMaliza mpira nikalale
[emoji16][emoji16][emoji16]Aaah jamani. Haya bhana. Next game
Game imeboa sana hii
Tumeharibu leo wala si siriNo shot on target,mnategemea nini. Kuna baadhi ya wachezaji walipotea kuanzia kipindi Cha kwanza, lakini wakabaki uwanjani.