Ebwana Luton wanachohakikisha ni hakuna kutamba kwamba una clean sheet
Clean sheet itakusaidia nini we Jamaa??? Hesabu point 3 achana na vitu vya ajabuHivi kuna big four katoka na clean sheet kwa Luton?
Una hasira kwa mambo madogo tu.Clean sheet itakusaidia nini we Jamaa??? Hesabu point 3 achana na vitu vya ajabu
Imani bila matendo ni kama mwili pasi na rohoArteta alisema sahihi leo mchana.
Arsenal hatuna uzoefu ila tuna imani.
Our best playmaker ni Raya, forwards wanafanya bluff runs ila Odegaard hapeleki long balls (juzi tunamuongelea Kelvin)
Wingers hawajaonyesha creativity.
Porto wanacheza na macho ya refa kwa ufasaha kutuzidi.
NAona umempiga sana LutonImani bila matendo ni kama mwili pasi na roho
Kawaida yetuNAona umempiga sana Luton
Umekuja huku hata game yenu haijaisha kufanya nini kama siyo kupiga domo?Kawaida yetu
Na wala hatubwabwaji madomo
POLE SANA, Ulikuwa una tegemea msaada kwa LUTON tena ANFIELD????Una hasira kwa mambo madogo tu.