HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,674
- 7,130
Raha ya Kiwior hakuna aliyejua tunamtaka. Kabla Boehly hajavamia mtu keshatinga jezi ya Ze Gunners.Kiwior kuna timu kadhaa Italia na hispania wanamtaka sana
Naomba tuendelee kuwa na signings za namna hii ambazo hakuna anayejua halafu zilete matunda. Kama ilivyokuwa kwa Tomiyasu.