allypipi
JF-Expert Member
- May 10, 2020
- 3,331
- 10,957
Katika kitu chochote chenye shabiki yoyote wa Wenger orphans mliopo hapa toka mzaliwe amna record ya kutufunga goal hata zaidi ya tatu nyie ni moja ya vibonde wetu ambao hata tuwe tumechoka kiasi gani lazima mje muache point pale OT.Kama Kuna timu hata siiwazi ni manjesta,ukiwashambulia tu wapo wazi sana
Sasa timu kama hiyo sio yakuiwaza
Kwasasa nawaza kupata point Etihad ,
Spurs naenda kumnyonga pale pale kwake
Manjesta akitukata tupo full ,half time anaweza kula 3-0 au 4-0
Mechi ya kwanza tulichelewa kuimaliza mechi pale mbele alianza chaguo la 4 Nketiah
Bado hata kuingia box la Arsenal ilikuwa mtihani ,
Juzi Luton kawapelekea sana moto wanaomba mpira uishe ,Sasa timu kama inapigwa msako na Luton unaanzaje kuifikiria
Mara 100 niwawaze Chelsea ,Wana uthubutu wa kwenda toe to toe
shabiki wa asenyani yoyote mwenye ana matokeo ya asenyani kutufunga hata goal 4 toka EPL ianze aje DM kuchukua elfu 10
Poor Wenger orphans.