Manda
JF-Expert Member
- Sep 24, 2007
- 2,071
- 306
mechi mbili wamefungwa goli 12
Waaaaaat sensational record....!
mechi mbili wamefungwa goli 12
Hahaha!!!! Lolkaingia maruhani samaki
Poleni watani........... Naona bundi anaatamia mayai kabisaaaa sasa
wapi kware?
Tunavuna tulichokipanda off-season.
mechi mbili wamefungwa goli 12
Labda hao wawili lakini huyo nyekundu ni Arsenal damu na sio double face kama hao wafaransaCesc, Nasri na Clinchy wanafurahi sana leo
Hello there!
How come wachezaji wawili wajifunge wenyewe kwenye mechi moja? Tunaposhambuliwa hakuna utulivu na kiongozi kuongoza huku nyuma, Vermaellean ni pengo sana hawa akina Djourou na Koscilny ni wa kubahatisha-bahatisha tu.Bulllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllllll ssssssssssssssssssssssssssssssss
Hahaha!!!! Lol
Umenistukia mie ndio nimekuwa bubu japo nalazimisha kuongea?
How come wachezaji wawili wajifunge wenyewe kwenye mechi moja? Tunaposhambuliwa hakuna utulivu na kiongozi kuongoza huku nyuma, Vermaellean ni pengo sana hawa akina Djourou na Koscilny ni wa kubahatisha-bahatisha tu.