Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

gooooooooooooooooooooooooaaaaaaaaaaaaaaal!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Tumekwisha Arsenal.

Ngoja nimtafute mshabiki wa timu za chini awe mentor wangu msimu huu hili niweze kumudu matokeo kama haya.

Nguvu zangu zote naenda kuwapa wakina Chamberlain kwenye Carling Cup.
 
Hakuna game rahisi tunaweza kuapata huko mbeleni kama hii.

Bado Wenger anasubiri kuleta mchezaji mwingine wa mwisho.
 
WHAT IS HAPPENING??? hii timu haijawahi kushinda nayo imeweza kupata mabao 4? very disappointing, mabeki wanaenda ndivyo-sivyo, wame-panick haraka
 
Mimi sijui Braza Arsene Wenga nimkosea nini..namsalimu hajibu..aya bana.
Braza Quest, poleni sana...Kweli, duh! poleni....Wacha Boy...usijali, n bahasha za SAF hizo.
 
Huu sijui niuiteje.... MKOSI, NUKSI au KIMAVI... yote sawa... Tunajifunga Goli mbili kwenye same game????? Really??? It doesnt click but it counts on this score board..... Hii inanikumbusha kitabu cha darasa la tatu miaka hiyo kulikua na story ya SADIKI NA SIKIRI........ Plae SIKIRI alipotoroka home kwa UVIVU na kupanda basi bila kuwa na nauli...............
 
Arse8 hata hawa jamaa wanaotaka kutimua kocha wanawatoa kamasi

Nimegundua kuandamana kunalipa sana, hao washabiki wa Blackburn wameandamana leo wanacheza vizuri na wanaelekea kushinda....labda next week itakuwa zamu ya wazee wa Emirates kuingia barabarani....khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!
 
Mimi sijui Braza Arsene Wenga nimkosea nini..namsalimu hajibu..aya bana.
Braza Quest, poleni sana...Kweli, duh! poleni....Wacha Boy...usijali, n bahasha za SAF hizo.

Nashukuru bana... its true nahitaji pole........... THANX ALOT HATER......
 
Huu sijui niuiteje.... MKOSI, NUKSI au KIMAVI... yote sawa... Tunajifunga Goli mbili kwenye same game????? Really??? It doesnt click but it counts on this score board..... Hii inanikumbusha kitabu cha darasa la tatu miaka hiyo kulikua na story ya SADIKI NA SIKIRI........ Plae SIKIRI alipotoroka home kwa UVIVU na kupanda basi bila kuwa na nauli...............

nilisema hivi:

It's a very simple script, "put the ball inside Arsenal box, and someone, somehow will score".
 
Back
Top Bottom