Mbishi Uswazi
Senior Member
- Feb 7, 2020
- 175
- 338
Hao Makocha wanapatikana?Niliandika hapa watu wakatukana. Tumeishia kupata point 4 mwezi december baada ya michezo mitano.
Kuanzia kwa Arteta mpaka timu yenyewe hakuna quality na spirit ya kuweza kubeba kombe kubwa.
Apatikane kocha ambaye ni tactical na sio huyu anapiga pasi zisizokuwa na umuhimu na mpira wake predictable.
Angalia manchester united na Chelsea wanavyowabadilisha makocha kila leo


