Mkuu kama sikosei nakumbuka ulihamia PSG kulikoni tena timu uliyoihama inakuumiza kiasi hikiHizi hadithi ndefu ndefu kwa sasa hazihitajiki kwa Big tean kama Arsenal kinachotakiwa ni TROPHIEStu last season ni UZEMBE wa Coach na baadhi ya players tukadrop from 1st position na season hii hakuna cha sijui hela ,sijui nafasi ya 5 au ya 3 ,season hii ni Arsenal abebe EPL trophy
sababu uwezo anao hao Leicester alibeba EPL tena bila hela yoyote ya usajili why not Arsenal ambayo inacheza sexy football kwa sasa?Arsenal uwezo wa kubeba EPL anao kwa asilimia 70 but kinachosumbua team inayumba sijajua tatizo ni nini kama muda huu tupo nafasi ya 4 wakati tulitakiwa tuwe wa 1 sababu tulikuwa home vs West ham
PSG na Arsenal wote ni wale wale hawapo serious na big trophiesMkuu kama sikosei nakumbuka ulihamia PSG kulikoni tena timu uliyoihama inakuumiza kiasi hiki



Ww n mshabik wa Liverpool.. naona imekuuma sana .. ila kiukwel mlizoea kutu funga sana pale anfield sasa nyakat hz hampat matokeo . Msimu ulio pita mlichomoa goli mbil msimu huu tena mkachomoa ..Kombe lenu msimu huu ni kutoka Draw na liver anfield.
Nje na hapo, hamna kikombe chochote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema uyu dogo,, Amna kitu nazani ndio msimu wake wa mwisho arsenal..Unataka ubingwa sub yupo Nelson![]()
Nani ametuloga sasa!?,,Arsenal sijui time rogwa aisee![]()
Arteta sijui wame muwekea gundi kichwani🤣😄😄Nani ametuloga sasa!?,,
uchawi upo Africa uk haa Simba na Yanga.
Huko mbele Kuna uchawi ni balaa🤣😄Nani ametuloga sasa!?,,
uchawi upo Africa uk haa Simba na Yanga.
Kwani ni lini mmeshinda Anfield?Ww n mshabik wa Liverpool.. naona imekuuma sana .. ila kiukwel mlizoea kutu funga sana pale anfield sasa nyakat hz hampat matokeo . Msimu ulio pita mlichomoa goli mbil msimu huu tena mkachomoa ..
Nilazima ujiskie vibaya timu uliokuwa una ionea kwako sasa hv hupat matokeo ..
Subir uje emirate nakunywa supu ya jogooo
Wameshatangaza kikosi Chao kwani??Jaman hiv ni kweli partey hajaitwa Ghana kwa ajili ya afcon