Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Eti Arsenal ni kubwa mno!!!!!
Timu tokea imeanzishwa karne ya 18 huko haijawahi kushinda kombe lolote la Ulaya,
Timu inaenda mwaka wa 20 bila kushinda Epl halafu unajidanganya Arse-no ni kubwa mnoooo, labda ukubwa wa makombe ya Emirates.
Arse-no ni level moja na kina Brighton huko wote wanahesabika ni mid table team.
Hapo Epl timu kubwa ni kina Liverpool, Man Utd, Chelsea na Man City.
 
umeishamtafuta?
 
Baada ya Tembo kudondoka kutoka kwenye Mti naona Jogoo kaamua kutulia yeye anatamba kama kuna mbabe wa kumshusha ajitokeze.
 
Mnaendleaje hapo Hale end ???
 
Naamini asenal akipoteza kama ivi inaweza ikawapresh kusajili January lakin wakiendelea kuwa stable wanaeza ona hamna umuhim wakati wanahitaji kikos kilichoshiba kama wanataka ubingwa
 
Kwani ubora unapimwa kwa wakati gani? Mechi moja? Msimu mmja? Msimu uliomalizika au misimu 10+????
 
umemjibu vyema sana huyo jamaa sijui hata ameongea nini yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…