arsenal2004
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 2,328
- 4,315
Narudia tena kama ambavyo huwa nawaambia tena....jana mmekutana pipa na mfuniko....naangalia ratiba yenu fixture tatu zijazo ntakwambia matokeo yatakavyokuwa na itakuwa hvyohvyo....Manunu hamna utulivu...hamfanyi build up inavyotakiwa...hamzuii vzuri...kiungo chenu kinapwaya...yaani mna matatizo chungu nzima....ukiniuliza mm Villa Wana wachezaji wasiozidi watatu ambao ndo wazuri...wengine wte ni average....walikuwa wamefikia peak Yao kwa mechi kadhaa na kile walichokionesha jana ndo uwezo wao hauzidi pale.....Sasa mtulie ndugu zetu...nyny bdo wabovu sana kama walivyo wazee wa kupiga watu mangumi Nyukesto....mna timu ya kawaida sanaTukiwa wakweli wa nafsi zetu,hadi sasa United ndiye kamuweka Tembo karibu na kileleni au kesho akae kileleni ingawa napata hofu kama mnaweza kurudi tena pale kwenye tawi mbele ya Hammers.
January transfer plans
️Tomiyasu and Partey injuries
| Mikel Arteta’s message to Arsenal fans: “First of all, thank-you for everything that you’ve done throughout the year and the way you’ve supported and inspired the team.