Mjusi_kafir
JF-Expert Member
- Dec 4, 2023
- 296
- 513
Huwez tegemea mashabiki wa timu wote waseme timu yao ni mbovu, wapo mashabiki wa aina mbili mbona wapo pia mashabik wa arsenal wenye mtazamo tofauti na hao unaowasema, kwaiyo maneno ni kawaida kwenye football kutamba na kutambiwa iyo ipo kabisa mzeeMkuu we usichokielewa ni nini?
Shida sio arsenal kufungwa, shida ni maneno ya baadhi ya misukule humu wanatuaminisha arsenal ni timu isiyogusika.
Sasa ikitokea mmebondwa ebana eeh, lazima tujeee.
Piga nyanii izooooo.
Mipango ni ile ile Arsenal inagombea ubingwa hakuna kilichobadilika.Sahivi arsenal inagombea nini? kama bado haijaanza rasmi kugombea ubingwa?
Msimu huu Arsenal hawako kama msimu uliopita mimi niliona tangu ligiu ianze, ni mashabiki wagumu tu ndio walikuwa wanabisha. Tatizo la Arsenal ni kama la Chelsea hawan wafungaji wazuri na Declan rice hana pivot wake mzuri, defence wako wawili tu Saliba na Gabriel
Kwenye usajili Arteta hakufanya vizuri lakini bado Arteta ni kocha mzuri, wakimtamani mwingine anaweza kuja kuwarudisha walikotoka. Bora sasa hivi wanashiriki michuano mikubwa ya UEFA ili pochi iongezeke na pia wachezaji wakubwa wapende kwenda Arsenal
Yule mwingine anapaka bleach siku hizi hata lango halioniStriker Nketiah akupe ubingwa
Uwakute sasa kina hamis77 na chawa wake wanavyoaminishana ujinga humu, wanadanganyana kabisa kua hakuna RW bora duniani kumzidi Sakatonge.Bukayo saka ana goli 5 tu epl sawasawa na Darwin Nunez ambaye hapewi dakika nyingi. Huyu Star boy wenu ndio mnategemea awape ubingwa kama walishindwa kina Alexis Sanches, ameshindwa RVP aje aweze Saka
Kabisa kabisa. Mimi huwa nafurahi sana nikiona comment kama hizi. We unawajua vizuri sana hawa kondoo. Ni kuwapa moyo tuu, ukweli hawaumudu. Hap tunalisubiri CHAMBUZI, CHA-MMEE EEEE, CHAGOAT HAMISI lije kutuambia ni jinsi gani jana FC MATUMAIN HEWA wameupiga mwingiMimi ni shabiki nyumbu ila Arsenal ni timu nzuri sana kwa sasa. Wanaweza kubadili matokeo muda wowote. Kwenye soka kuna matokeo matatu,hivyo mashabiki wenzangu wa soka hasa timu ya Arsenal msiogope sana. Katika kitu sikitaki hata kukiota msimu huu ni City kubeba tena ndoo
Timueni huyo mid table coach mtafute kocha mwenye mentality ubingwa la sivyo kila siku mtakua mnadanyana humu na hizo phase za michongo.Aaaah. Mambo gani tena haya Arteta na Arsenal? Nimelala vizuri nikijua nitaamka na kujikuta nimeketi zangu fresh kileleni nikiwachora kina Livakuku.
Yaani tumeshindwaje kuwapiga hawa hammers? Sitaki hata kujua. Kwa ujinga huu mimi naona tuachane na kutafuta ubingwa, tuwape Livakuku baraka zetu waupambanie wao. Tutumie muda huu kuboresha kikosi, haswa upande wa ushambuliaji. Halafu tufanye moja kati ya haya mawili:
1. Fukuzia mbali kabisa Arteta.
2. Baki na Arteta lakini yeye na timu nzima waanze sessions na wanasaikolojia washughulikie hiyo block inayowafanya washindwe kutimiza vitu simple tu kama kushinda mechi za lazima kabisa, tena dhidi ya wapinzani dhaifu kuliko Arsenal.
Poa poaWestham wataondoka Kama walivyokuja
Points 3 zinabaki Emirates
Kipindi Cha pili, kila ukatili unao ujua wewe ndio watakaofanyiwa hawa wapuuzi
Uwakute sasa kina hamis77 na chawa wake wanavyoaminishana ujinga humu, wanadanganyana kabisa kua hakuna RW bora duniani kumzidi Sakatonge.
Kumbe siku hizi wanaitwa FC MATUMAINI HEWA?Kabisa kabisa. Mimi huwa nafurahi sana nikiona comment kama hizi. We unawajua vizuri sana hawa kondoo. Ni kuwapa moyo tuu, ukweli hawaumudu. Hap tunalisubiri CHAMBUZI, CHA-MMEE EEEE, CHAGOAT HAMISI lije kutuambia ni jinsi gani jana FC MATUMAIN HEWA wameupiga mwingi
Yaani timu yetu ni haiwezi kudeal na pressure.
LEICESTER wanachukua Ubingwa walijikuta Nafasi ambayo hawakuitegemea, Ukiangalia Mzunguko wa Pili ilikuwa ni suala la Mwalimu zaidi. ARTETA Mwalimu mzuri lakini bado ni Mwanafunzi aliye kazini, Hawezi jua Kupambana na Pressure kwake Binafsi na kwa Wachezaji wake. {Na ana "EGO" kuamini anajua kumbe bado sana}Mfano ingekua leo tupo nafasi ya kwanza na tuna points ambazo wa chini yetu hawazifikii hata wakishinda mechi zao hii game tungeshinda vizuri tu
Nimeamini Arsenal kuchukua ubingwa ni ndoto rasmi nimeamka kutoka ndotoni
Daaah. Arteta katuletea maneno mbofu mbofu mingi sana mjini ndani ya saa chache sana. Yaani mpaka Benny Blanco Master Mwenyewe kuna mtu anajitokeza kumdhihaki?Beki Ben White halafu mnataka ubingwa hivi mpo serious kweli?
Na ww mkuu ukaona kbs watu wa kuwakabizi kazi ya kuipokonya City ndoo ya 4 mfululizo ni Arsenal sioMimi ni shabiki nyumbu ila Arsenal ni timu nzuri sana kwa sasa. Wanaweza kubadili matokeo muda wowote. Kwenye soka kuna matokeo matatu,hivyo mashabiki wenzangu wa soka hasa timu ya Arsenal msiogope sana. Katika kitu sikitaki hata kukiota msimu huu ni City kubeba tena ndoo