


ushawahii kuuza mchezaji kwa hata 60M tu toka arsenal imeanzishwa? Mlipigwa kwa pepe kwa 72M then mnamuuza kwa 1.5 m . Unajipa false hopes eti saka ni 120M
Gordon kauzwa kutoka everton 45 M sasa unategemea tukiuza tutauza hela ya chini kama nyinyi ?
Hio 45M hakuna mchezaji ameshawahi kuuzwa hela kubwa arsenal kuzidi hela aliyeuzwa gordon kutoka everton nakupa hiii nyingine pia najua ulikua hujuii wacha nikujuze sasa.
Unaposema unauza kwa bei kubwa tuambie toka arsenal imeanzishwa nan aliuzwa kwenda timu nyingine hela iliyozidi 45M , ukionyesha nakupa milion 1 sasa hivi hapa.
Tuliambia ramsdale ana thamani ya shingapi vile?


kina holding, pepe, takuma, wachezaji wa paundi moja moja.