Nawasagia kunguni mkuu , Everton hatusumbuiBdo unakuja kuzurura hmu wakati una msala na Everton wiki hii....watu mna roho za paka aisee

Mnabinua mabega Sana enyi mabingwa feki
Nawasagia kunguni mkuu , Everton hatusumbuiBdo unakuja kuzurura hmu wakati una msala na Everton wiki hii....watu mna roho za paka aisee

Nawasagia kunguni mkuu , Everton hatusumbuiBdo unakuja kuzurura hmu wakati una msala na Everton wiki hii....watu mna roho za paka aisee

Nawasagia kunguni mkuu , Everton hatusumbui
Mnabinua mabega Sana enyi mabingwa fe
Liver uzoefu unawasaidia piaLiverpool hawez kupigania ubingwa ,sijui kwanini watu hamfanyi analysis vzr
Jamaa wanakiungo Cha kawaida Sana, ila Wana attacking nzuri
Wanaruhusu Sana kushambuliwa
Allison yupo kwenye list na kina onana,Makipa wa Luton, Sheffield, Burney kwa kuokoa michomo mingi
Salah kwasasa amekuwa Kama Cr7 anakaa maeneo hatari tu kufunga na kutoa pass Hana Tena ile pace ,kwasasa Salah watu hawanzingatii Tena kumuwekea ulinzi ,na huyo ndio roho ya Liverpool,anafata Allison .
Tuta prove hayo maneno siku tukikutana naoLiverpool hawez kupigania ubingwa ,sijui kwanini watu hamfanyi analysis vzr
Jamaa wanakiungo Cha kawaida Sana, ila Wana attacking nzuri
Wanaruhusu Sana kushambuliwa
Allison yupo kwenye list na kina onana,Makipa wa Luton, Sheffield, Burney kwa kuokoa michomo mingi
Salah kwasasa amekuwa Kama Cr7 anakaa maeneo hatari tu kufunga na kutoa pass Hana Tena ile pace ,kwasasa Salah watu hawanzingatii Tena kumuwekea ulinzi ,na huyo ndio roho ya Liverpool,anafata Allison .
Angalia mechi zao, sitashangaa nyumbu wakiwavuta mkia next weekTuta prove hayo maneno siku tukikutana nao
HATUELEWEKI FC, anaweza kula nying mpk mkashagaa lkn anaweza tufunga nyingi pia lkn hii kufungwa hamtashangaaAngalia mechi zao, sitashangaa nyumbu wakiwavuta mkia next week
Uoga wenu tu ila jamaa Wana kiungo chakawaida tu, attacking Yao ndio nzuriHATUELEWEKI FC, anaweza kula nying mpk mkashagaa lkn anaweza tufunga nyingi pia lkn hii kufungwa hamtashangaa
Crystal palace wamejipiga wnyewe risasi ya mguu....Ayew hakuwa na ulazima wa kucheza ile rafu pale....angemghasi tu Elliot...yy ndo Kawa cost wnzakeWinning goal kwa liva imepatikana 90+ minutes
Wait . . .
Mpira ukiisha baadae tutaomba uje pia mkuu....maana huwa mnatupiga mikwara halafu mpira ukishaisha mnakimbilia kwny mashimo yenu mnayoyajuaHaya Its official. This time hakuna siku 200+ za kuwa top of the table. Aston Villa wanajiandaa kuleta kilio humu ndani.
Moderator tunaomba baadae mpite moite humu sana kudhibiti matusi
Nyumbu atapigwa nyingi, hii shughuli inabidi tuivalie njuga wenyewe. Silaha ya liverpool ni mashabiki, mafans wakiona kuna hope hata kama timu ikiwa na matobo still hakuna mtu atatoka salama Anfield. Japo sikatai liverpool hajafikia level yetu na City.Angalia mechi zao, sitashangaa nyumbu wakiwavuta mkia next week
Sijamaliza dakika mbili tangu niandike nyumbu lishachezea chumaBournemouth mechi nne za mwisho
Kamfunga Nyukesto
Kamfunga Sheffield
Kasuluhu na Villa
Kamfunga Palace
Naamini ana chance hapa
Kaeni tu. Sisi ligi inaanza January. Hiki tunachopata sasa hivi ni bonus tu ya juhudi na focusKajichanganyeni sasa tupo juu.
View attachment 2837706
January mtawakuta watu wameshavuka mlima mkuu.Kaeni tu. Sisi ligi inaanza January. Hiki tunachopata sasa hivi ni bonus tu ya juhudi na focus