Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nafurahi kuona baadhi mnaanza kuelewa maneno tunayosema , nilisema kwa sasa hatuwezi kuelewana lakini mpaka kufika may tutakuwa tumeelewana vizuriii kabisa.
Arsenal hata akitangulia kwa point 20, usimbetie kuchukua ubingwa hadi December/January ikipita.
 
Hatuna bench la kushtua so waliopo wasifanye drama

Hili tunakuambia kila siku kwani before lineup hukulijua hili ama? Sasa hapo hamna hata majeruhi ushaanza kupiga kelele ukipata majeruhi zaidi ya 12 si ndo false hopes zitakuwa mlima.

Haya tuambie hapo mchezaji gani ambaye yupo injury anaweza akakaaa benchi akashtua watu[emoji23][emoji23]
 
Again and again, ni false hope kutegemea arsenal abebe kombe lolote kubwa.

Timu iko soft sana na inatabirika.
Kidogo kidogo tu mwisho wa siku mtakubali wote humu kua Labyrinth 84 sio adui yenu bali ni mtu anaependa kuwaambia tu ukweli wa hali ya mambo ulivyo ndani ya Arsenyau, ingawa wengi humu hawapendi kusikia ukweli bali wanapenda kusikia zile story za matumaini hewa toka kwa ndugu yangu Masingeli.
 
If you think of catching arsenal, that’s a daytime dream.
We don’t expect to drop points unless we are hit by injuries.

Hayo ni maneno ya mashabiki wa Arsenal kabla ya game [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwamba wamevuka expectations zao maana walikuwa hawajaanza ligi lakini wamejikuta wanaongoza ligi.
Hawa jamaa wana nadharia nyingi sana za uongo kiasi kwamba unaweza kumdharau kocha wako hafai pamoja na Ten Hag wetu bure.
I love my united
 
Yeah Villa have a strong bench

Ona huyu nae [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani lineup imetoka tu tayariii watu wanaogopa technically unachosema ni villa wana strong players kukuzidi lakini ikifika asubuhi false hope itakuingia utaanza kubisha tena [emoji23][emoji23].

Huu ni uthibitisho kamili wa false hope
 
If you think of catching arsenal, that’s a daytime dream.
We don’t expect to drop points unless we are hit by injuries.

Hayo ni maneno ya mashabiki wa Arsenal kabla ya game [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alisikika muhuni mmoja mchana akijipitisha mbele za mabingwa😂
 
hamis77 ni mhuni sana yule jamaa. Siku wakishinda mechi anakuja na rekodi zake uchwara punde tu mpira ukiisha. Siku wakifungwa anaishiwa bando hadi hali ya hewa itulie ndio anakuja kupooza mamluki wake humu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Masingeli analinajisi sana hili jukwaa kwa kuwalisha false hopes mashabiki wa Asenyo humu akisaidiana na chawa wake watiifu mkorea na arsenal2004 halafu mbaya zaidi Masingeli ana kinga ya turufu yaani humu ndani hata akidanganya ni dhambi kumkosoa.
[emoji23][emoji23][emoji23] muda huu Masingeli analichungulia hili jukwaa hivi[emoji116][emoji116][emoji116]
IMG_20230317_141810.jpg
 
njooni tuwauzie striker la kimataifa ,mtambo wa kufumania nyavu "Wacko Jacko" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkimpata wacko Jacko mna uhakika wa missed goals 60+ Kwa msimu , Chelsea mpaka sasa tunaongoza kwa missed clear goals 33 kwenye ligi na karibia nusu ya hizo missed goals wacko Jacko anahusika , imagine mpaka msimu unaisha tutakuwa na missed goals ngapi ?


Wacko Jacko Yule Tunawapa bure ,hatutaki hata senti yenu
 
Kama kuna shabiki asenali anaamini asenali inaweza kuchukua kikombe chochote msimu anajitafutia maumivu na huu ni ushauri wangu binafsi 😆😆😆...

Ubingwa wowote wa asenali msimu huu labda kwa bahati tu ila bado nitimu ya kawaida tu inayoweza kushindana na sio kushinda kombe kwa sasa.

Wazee wa fezii fooo mmepigwaje hapooo😂

Ngoja nikavute kwanza 👣 ntarudi🏌🏿‍♀️
 
Tupeleke maoni yetu FA waandae na kombe la domination ili mwisho wa msimu walau na hawa ndugu zetu wawe wanaambulia hata kakombe ka kudominate.
Hahaaaaa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hawa washika manati wanafurahisha sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tupeleke maoni yetu FA waandae na kombe la domination ili mwisho wa msimu walau na hawa ndugu zetu wawe wanaambulia hata kakombe ka kudominate.
Mashabiki wa asenyeto humu wanakwambia UEFA champion league msimu huu hamna mbwa yoyote anayewatisha , hata Madrid mlete Tu watambonda vibaya na watabeba kombe la UCL [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mashabiki wa asenyeto humu wanakwambia UEFA champion league msimu huu hamna mbwa yoyote anayewatisha , hata Madrid mlete Tu watambonda vibaya na watabeba kombe la UCL [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] False hoper hao, kuna kasisi wao humu alikua anawaaminisha kua hakuna kombe rahisi kubeba kama Uefa, ukimuuliza kama kweli ni rahisi kubeba mpaka sasa hivi Arsenyau ina makombe mangapi ya Uefa?
Anakupiga marufuku kumquote halafu wewe ulieuliza swali anakuita ni Anti-Semitism.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom