Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tunata kuongelea soka Sasa
Mmeshamaliza kututukana na kejeli ?
 
Tunata kuongelea soka Sasa
Mmeshamaliza kututukana na kejeli ?
Kuna mmoja saa moja na nusu ndo utakuwa muda wake wa mwsho kuonekana humu maana atakuwa tyri kashakung'utwa za kutosha na Son...kwhyo wachq watambe hmu sisi tunasubiri baadae🤠🤠🤠
 
Timu ambazo ziko trophy oriented kuuza mchezaji kwa bei kubwa hua yaweza tokea mara 1 kwenye dirisha la usajili, mfano huwezi kuta Bayern imeuza mchezaji wake kwa 60M kwenda juu kwa misimu minne mfululizo.

Barcelona wamewahi muuza Neymar kwa bei ya juu mno, baada ya hapo wamemuuza nani kwa nusu ya pesa ya Neymar?

Same na Juve/ Nyumbu etc.

Sababu ni kwamba kwa mchezaji mwenye hiyo thamani ni kumaanisha yuko vizuri uwanjani na anatarajiwa atoe mchango kwa ajili ya trophies. Hizi timu hazitegemei mauzo ya wachezaji kama chanzo kikuu cha mapato.

Dortmund, Brighton, Westham, Villa, Atletico, Inter (Ya kuanzia misimu mitatu nyuma mpaka sasa), Leicester na wanaofanania hapo kuuza wachezaji kwao ni sehemu ya mapato. Leicester baada ya kombe msimu uliofuata timu kubwa zikaondoka na uti wa mgongo wa timu.

Arsenal iliwahi kua inauza wachezaji kipindi ambacho kuna mkopo wa uwanja, kipindi hicho timu kichaa kutoa zaidi ya 50M ni Madrid. Arsenal imeuza wachezaji kipindi ambacho timu ikitoa 55M inampata Zidane aliyeiva.

Sasa hivi unatoa 100M anakuja mchezaji anakaa misimu miwili bila goli.

Arsenal ya sasa haiwezi kuuza mchezaji kwakua inataka mapato. Ya zamani ingemuuza Saka, Saliba, Magalhaes, Martinelli, Smith Rowe n.k.

Saka ana rekodi kubwa sana kwa sasa, kwenye GA, dribbles na chance creation, kote huko ni wa kwanza with 50+ by wa kwanza means hakuna mwingine. Ana umri unaoruhusu kukua.

Wote tunafuatilia mpira, msimu uliopita Almiron alishine for almost game 6 baada ya pale hatumsikii tena, same purple patch imemuangukia Gordon. Ni ujinga kudai he is better than Saka.

Transfer market and the like wamelist market value ya kila mchezaji, waweza jaribu kuangalia.

Newcastle nzima mchezaji ambaye anaweza kuingia Arsenal bila kusubiri ni Trippier tu. Mwingine yeyote ataanzia benchi easily.

The hate is too much eh? Sidhani. Hii siyo chuki, ni ujinga.
 
Worst fan base ever 😂

Mnataka wote muwe na mawazo sawa kama kombania ya jeshi😂
Mmezoea kwnu kumtusi Baba Ubaya mnataka kuhamishia hyo mentality na huku kwetu tutawakataa...tulikuwa hvyo kipindi cha Emery kwasababu mpira ulikuwa haueleweki kabisaaaa na matokeo yalikuwa ya papatupapatu ila kwa matokeo ya jana sina presa kabisa maana najua ni suala la muda tu pale juu tunapanda tena....hmu Livakuku ndo watupasue....sio nyie Manunu mnakuja kugalagazwa kwenu tatu na katimu ka mkiani huko
 
Kuna mmoja saa moja na nusu ndo utakuwa muda wake wa mwsho kuonekana humu maana atakuwa tyri kashakung'utwa za kutosha na Son...kwhyo wachq watambe hmu sisi tunasubiri baadae🤠🤠🤠
Nyumbu Jana kala chuma tatu kavu, Tena akiwa nyumbani na timu ambayo ipo bondeni huko

Kufungwa arsenal ni gumzo ndani ya jiji
 
Timu ambazo ziko trophy oriented kuuza mchezaji kwa bei kubwa hua yaweza tokea mara 1 kwenye dirisha la usajili, mfano huwezi kuta Bayern imeuza mchezaji wake kwa 60M kwenda juu kwa misimu minne mfululizo.

Barcelona wamewahi muuza Neymar kwa bei ya juu mno, baada ya hapo wamemuuza nani kwa nusu ya pesa ya Neymar?

Same na Juve/ Nyumbu etc.

Sababu ni kwamba kwa mchezaji mwenye hiyo thamani ni kumaanisha yuko vizuri uwanjani na anatarajiwa atoe mchango kwa ajili ya trophies. Hizi timu hazitegemei mauzo ya wachezaji kama chanzo kikuu cha mapato.

Dortmund, Brighton, Westham, Villa, Atletico, Inter (Ya kuanzia misimu mitatu nyuma mpaka sasa), Leicester na wanaofanania hapo kuuza wachezaji kwao ni sehemu ya mapato. Leicester baada ya kombe msimu uliofuata timu kubwa zikaondoka na uti wa mgongo wa timu.

Arsenal iliwahi kua inauza wachezaji kipindi ambacho kuna mkopo wa uwanja, kipindi hicho timu kichaa kutoa zaidi ya 50M ni Madrid. Arsenal imeuza wachezaji kipindi ambacho timu ikitoa 55M inampata Zidane aliyeiva.

Sasa hivi unatoa 100M anakuja mchezaji anakaa misimu miwili bila goli.

Arsenal ya sasa haiwezi kuuza mchezaji kwakua inataka mapato. Ya zamani ingemuuza Saka, Saliba, Magalhaes, Martinelli, Smith Rowe n.k.

Saka ana rekodi kubwa sana kwa sasa, kwenye GA, dribbles na chance creation, kote huko ni wa kwanza with 50+ by wa kwanza means hakuna mwingine. Ana umri unaoruhusu kukua.

Wote tunafuatilia mpira, msimu uliopita Almiron alishine for almost game 6 baada ya pale hatumsikii tena, same purple patch imemuangukia Gordon. Ni ujinga kudai he is better than Saka.

Transfer market and the like wamelist market value ya kila mchezaji, waweza jaribu kuangalia.

Newcastle nzima mchezaji ambaye anaweza kuingia Arsenal bila kusubiri ni Trippier tu. Mwingine yeyote ataanzia benchi easily.

The hate is too much eh? Sidhani. Hii siyo chuki, ni ujinga.
Unabishana na kakijana ka Form six mkuu🤠🤠....nenda nako taratibu
 
Haukutakiwa kumjibu hivi mkuu, ungemuacha tu
Timu kubwa zinazohitaji mataji, zitanunua mchezaji kwa bei kubwa. Watamtumia Hadi aishe then wanamtoa kwa bei ya sadaka

Mfano pale Madrid hauwezi kumtoa camavinga, jude au Rodrigo kwa Sasa
Subiri baada ya misimu 5 akianza kuchuja/kupoa
 
Timu ambazo ziko trophy oriented kuuza mchezaji kwa bei kubwa hua yaweza tokea mara 1 kwenye dirisha la usajili, mfano huwezi kuta Bayern imeuza mchezaji wake kwa 60M kwenda juu kwa misimu minne mfululizo.

Barcelona wamewahi muuza Neymar kwa bei ya juu mno, baada ya hapo wamemuuza nani kwa nusu ya pesa ya Neymar?

Same na Juve/ Nyumbu etc.

Sababu ni kwamba kwa mchezaji mwenye hiyo thamani ni kumaanisha yuko vizuri uwanjani na anatarajiwa atoe mchango kwa ajili ya trophies. Hizi timu hazitegemei mauzo ya wachezaji kama chanzo kikuu cha mapato.

Dortmund, Brighton, Westham, Villa, Atletico, Inter (Ya kuanzia misimu mitatu nyuma mpaka sasa), Leicester na wanaofanania hapo kuuza wachezaji kwao ni sehemu ya mapato. Leicester baada ya kombe msimu uliofuata timu kubwa zikaondoka na uti wa mgongo wa timu.

Arsenal iliwahi kua inauza wachezaji kipindi ambacho kuna mkopo wa uwanja, kipindi hicho timu kichaa kutoa zaidi ya 50M ni Madrid. Arsenal imeuza wachezaji kipindi ambacho timu ikitoa 55M inampata Zidane aliyeiva.

Sasa hivi unatoa 100M anakuja mchezaji anakaa misimu miwili bila goli.

Arsenal ya sasa haiwezi kuuza mchezaji kwakua inataka mapato. Ya zamani ingemuuza Saka, Saliba, Magalhaes, Martinelli, Smith Rowe n.k.

Saka ana rekodi kubwa sana kwa sasa, kwenye GA, dribbles na chance creation, kote huko ni wa kwanza with 50+ by wa kwanza means hakuna mwingine. Ana umri unaoruhusu kukua.

Wote tunafuatilia mpira, msimu uliopita Almiron alishine for almost game 6 baada ya pale hatumsikii tena, same purple patch imemuangukia Gordon. Ni ujinga kudai he is better than Saka.

Transfer market and the like wamelist market value ya kila mchezaji, waweza jaribu kuangalia.

Newcastle nzima mchezaji ambaye anaweza kuingia Arsenal bila kusubiri ni Trippier tu. Mwingine yeyote ataanzia benchi easily.

The hate is too much eh? Sidhani. Hii siyo chuki, ni ujinga.
Be realistic midfield ya arsenal inayocheza na Harvest ,Rice na Ode ,GUIMAREAS asicheze? ,forward ya Gabri Jesus ISAK asicheze utakuwa ukichaa Kwa kipi alichonacho ?Nimuache nje Nick Pope Ili wacheze mistakes after mistakes golie Raya na Rams ,kuwa Serious .Ulianza vizuri mwishoni umeharibu
 
City nikimuacha points 6 na liverpunda akinipita points 5 nakua na amani

City nikimuacha points 1 liverfool akiniacha points 8 hakuna amani

NB
Liverfool=liverpunda
 
Be realistic midfield ya arsenal inayocheza na Harvest ,Rice na Ode ,GUIMAREAS asicheze? ,forward ya Gabri Jesus ISAK asicheze utakuwa ukichaa Kwa kipi alichonacho ?Nimuache nje Nick Pope Ili wacheze mistakes after mistakes golie Raya na Rams ,kuwa Serious .Ulianza vizuri mwishoni umeharibu
Hawa watu unawaangalia unabaki unashangaa tu yule msomali anaanza muda wowote pale gunners
 
Kwanza mshukuru tu mungu yupo upande wenu, kuna game nyingi mlikua mfe, sema mungu akawa upande wenu. Ila huwa mnadanganyana kuwa mna timu kondoo nyie.
 
Be realistic midfield ya arsenal inayocheza na Harvest ,Rice na Ode ,GUIMAREAS asicheze? ,forward ya Gabri Jesus ISAK asicheze utakuwa ukichaa Kwa kipi alichonacho ?Nimuache nje Nick Pope Ili wacheze mistakes after mistakes golie Raya na Rams ,kuwa Serious .Ulianza vizuri mwishoni umeharibu
Sasa Guimaraes ni namba ngapi, anaweza cheza namba ya ode na akakupa performance kama yake, m navyojua Guimaraes n Dm na DM tulionao sisi n Rice na Partey labda sasa ndo useme utamtoa nani kati ya hao ili Guimaraes acheze
 
Timu ambazo ziko trophy oriented kuuza mchezaji kwa bei kubwa hua yaweza tokea mara 1 kwenye dirisha la usajili, mfano huwezi kuta Bayern imeuza mchezaji wake kwa 60M kwenda juu kwa misimu minne mfululizo.

Barcelona wamewahi muuza Neymar kwa bei ya juu mno, baada ya hapo wamemuuza nani kwa nusu ya pesa ya Neymar?

Same na Juve/ Nyumbu etc.

Sababu ni kwamba kwa mchezaji mwenye hiyo thamani ni kumaanisha yuko vizuri uwanjani na anatarajiwa atoe mchango kwa ajili ya trophies. Hizi timu hazitegemei mauzo ya wachezaji kama chanzo kikuu cha mapato.

Dortmund, Brighton, Westham, Villa, Atletico, Inter (Ya kuanzia misimu mitatu nyuma mpaka sasa), Leicester na wanaofanania hapo kuuza wachezaji kwao ni sehemu ya mapato. Leicester baada ya kombe msimu uliofuata timu kubwa zikaondoka na uti wa mgongo wa timu.

Arsenal iliwahi kua inauza wachezaji kipindi ambacho kuna mkopo wa uwanja, kipindi hicho timu kichaa kutoa zaidi ya 50M ni Madrid. Arsenal imeuza wachezaji kipindi ambacho timu ikitoa 55M inampata Zidane aliyeiva.

Sasa hivi unatoa 100M anakuja mchezaji anakaa misimu miwili bila goli.

Arsenal ya sasa haiwezi kuuza mchezaji kwakua inataka mapato. Ya zamani ingemuuza Saka, Saliba, Magalhaes, Martinelli, Smith Rowe n.k.

Saka ana rekodi kubwa sana kwa sasa, kwenye GA, dribbles na chance creation, kote huko ni wa kwanza with 50+ by wa kwanza means hakuna mwingine. Ana umri unaoruhusu kukua.

Wote tunafuatilia mpira, msimu uliopita Almiron alishine for almost game 6 baada ya pale hatumsikii tena, same purple patch imemuangukia Gordon. Ni ujinga kudai he is better than Saka.

Transfer market and the like wamelist market value ya kila mchezaji, waweza jaribu kuangalia.

Newcastle nzima mchezaji ambaye anaweza kuingia Arsenal bila kusubiri ni Trippier tu. Mwingine yeyote ataanzia benchi easily.

The hate is too much eh? Sidhani. Hii siyo chuki, ni ujinga.
asipokuelewa na hapa atakuwa si binadamu huyu bali jiwe
 
Be realistic midfield ya arsenal inayocheza na Harvest ,Rice na Ode ,GUIMAREAS asicheze? ,forward ya Gabri Jesus ISAK asicheze utakuwa ukichaa Kwa kipi alichonacho ?Nimuache nje Nick Pope Ili wacheze mistakes after mistakes golie Raya na Rams ,kuwa Serious .Ulianza vizuri mwishoni umeharibu
Guimaraes anacheza namba ngapi?

Anacheza namba ya Martin? Rice au ya Havertz?

Ninavyojua anacheza ya Rice.

Bruno alikua anauzwa 45M. Kwamba Arsenal hatukutoa 45M kwa Bruno badala yake tukaja kutoa 105M kwaajili ya Rice haitakiwi kukupa picha?

Pope is good yeah. Huyu naweza kukubali unachosema. Ila Bruno hapana.

Startimes inaonyesha la liga nimemuangalia sana Isak kipindi yupo la liga. Nitamchagua Jesus kila siku mbele ya Isak
 
Umemeagalia mchezaji yuko laliga ukamlinganisha na wa Epl ,Sasa wako wote Epl anamzidi Kila kitu huyo mchezaji unaemchagua ,kuwa serious weka mapenzi pembeni ,ISAK wa misimu miwili Epl anamzidi takwimu ya Kila kitu Jesus wa misimu minne Epl .kuwa mkweli
 
Sasa Guimaraes ni namba ngapi, anaweza cheza namba ya ode na akakupa performance kama yake, m navyojua Guimaraes n Dm na DM tulionao sisi n Rice na Partey labda sasa ndo useme utamtoa nani kati ya hao ili Guimaraes acheze
kwanini asiwe box to box badala ya Kai ,huyo Kai anafanya Nini hapo kwenye midfield cha maana sana
 
nimemuangalia sana Isak kipindi yupo la liga. Nitamchagua Jesus kila siku mbele ya Isak
Ulikuwa na Hoja nzuri ila Unakosea sema Timu inayotafuta Kombe haiwezi Uza Mchezaji.
Labyrinth 84 nadhani Hoja yake ni kuwa Hujawahi fanya Mauzo makubwa ya Mchezaji kwenda timu Nyingine.

kutafuta Makombe ama la haikuzuii kufanya Biashara kama Mchezaji unaweza pata Manufaa zaidi kumuuza kuliko kubaki naye.

Hamna kombe lolote Mpo nalo lakini hakuna Mchezaji wenu wa thamani kubwa kwenda pengine. Hawa CIES wanapotoshaga sana. Mwaka jana Golikipa alokuwa na thamani walituambia ni RAMSDALE. Muda ni Msanifu Mzuri leo hii hiyo thamani ni Ipi?

City imeweza uza Palmer, Raheem, Zinchenko, Jesus, Sane n.k, Chelsea imeuza Hazard, KAI, Mount, Costa, Oscar, Mata n.k, Liver imeuza Coutinho, Raheem, Fabinho, n.k Nimekupa Mifano ya Hizi timu sababu zimefanya Biashara kubwa na bado zimeendelea pata Mafanikio Makubwa tu kuchukua hadi UCL.

Kwa ISAK na JESUS labda rekodi zao za Majeraha lakini ISAK anakupa vingi kuliko JESUS.
 
Guimaraes anacheza namba ngapi?

Anacheza namba ya Martin? Rice au ya Havertz?

Ninavyojua anacheza ya Rice.

Bruno alikua anauzwa 45M. Kwamba Arsenal hatukutoa 45M kwa Bruno badala yake tukaja kutoa 105M kwaajili ya Rice haitakiwi kukupa picha?

Pope is good yeah. Huyu naweza kukubali unachosema. Ila Bruno hapana.

Startimes inaonyesha la liga nimemuangalia sana Isak kipindi yupo la liga. Nitamchagua Jesus kila siku mbele ya Isak
Morden game hakuna habari za namba gani ,ila inadai majukumu gani uwanjani (position and responsibilities),anapocheza Kai na Rice ,Gui anacheza .Nitashangaa ukisema Rice na Gui hawawezi kucheza pamoja kama box to box na Dm,wakati huo huo Kai haeleweki anacheza wapi na best position yake ni ipi.Elewa neno position
 
Back
Top Bottom