Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Inabidi Arteta ajipange kuwadhibiti McGin na Bailey ili wasiweze kumtengenezea finishing passes Watkins
Kabisa. City ilikua na mabeki 5 jana uwanjani lakini haijasaidia, kudhibiti hao watu.
 
Ila Martinez kipaa! hapa tukubali tu arteta alifanya makosa kumwachia, maana ata Leno mwenyewe sijui yuko wapi..
Game yetu na Aston villa iko mikononi mwa raya akileta mzaa wake tunakufa mapema tu, kipa wa city jana alivyo chomoa ile michomo sio poa hivhiv wangekufa ata nne
Mzee bado unamuwaza Martinez ?
 
Matip miezi 9 sijui habari unayo, bado konate injury prone


Wakati huo Arsenal tunajiandaa kuwapokea Partey ,Smith , Timber na usajili mpya wa Beki na kiungo ,
Unadhani tunamtegemea Matip?
Robbo anarudi,una habari?
 
Unadhani tunamtegemea Matip?
Robbo anarudi,una habari?
Nakusogezea hii hapa [emoji107][emoji107] nyingine ,yaani wewe February utakuwa unagombea upate top 4

[emoji779]️@JamesPearceLFC:

Alexis Mac Allister is now a doubt for Saturday’s trip to Crystal Palace after needing stitches in a wound in his knee.
 
Nakusogezea hii hapa [emoji107][emoji107] nyingine ,yaani wewe February utakuwa unagombea upate top 4

[emoji779]️@JamesPearceLFC:

Alexis Mac Allister is now a doubt for Saturday’s trip to Crystal Palace after needing stitches in a wound in his knee.
Endelea kuota
Hiyo nafasi anakaa Trent kama huna habari[emoji23]
 
Kuelekea mechi na Astonvilla

Astonvilla hataweza kubishana na Arsenal kwenye umiliki wa mpira

Wanajaza viungo wengi kuwin 50/50 na kufanya transition

Wanacheza 4-4-2 isiyo na mawinga asilia ,wanamtumia MaGinn na Zaniolo au Tielemans Kama mawinga ,Kati Yupo kamara na Luiz ,so Wana viungo wanne ,

Tunaendaje na tutarajie Nini ?

Tunahitaji viungo wakufika Sana na kupora mipira iwe ya chini au hewani,


Kai- Rice -odegaard na Jesus tunawahitaji kuanza sababu wanaweza purukushani,


MARTINELL na Saka wataleta shida hivo lazima MacGinn na Tielemans watakuwa wanarudi nyuma kusaidia kuwakaba

Hapo Sasa ndipo tutahitaji huduma ya Ødegaard ambaye anatokea chini kusambaza mipira mingi kwenye half space


Kai ,Jesus na Rice kazi Yao kuwin 50/50 na kusonga mbele
 
Hapana aisee Sion akiweza battle za wakubwa ,ndio maana kocha wako hamuamini

Kwanza mfupi aisee
Subiri utaona


Kama mwaka jana mlimzawadia pep kikombe kwa ujinga wenu
Mwaka huu tunakibeba wenyewe wanaume wa shoka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom