Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

False hoper hao, kuna kasisi wao humu alikua anawaaminisha kua hakuna kombe rahisi kubeba kama Uefa, ukimuuliza kama kweli ni rahisi kubeba mpaka sasa hivi Arsenyau ina makombe mangapi ya Uefa?
Anakupiga marufuku kumquote halafu wewe uliuliza swali anakuita ni Anti-Semitism.
HahaaaaAntisemitism au sio
 
Naanza kuamini inawezekana sisi ni False hoper kwa kweli

Tuna mistake zinazojirudia season to season match to match
How come we fail to score today
Unaongea ukiwa serious au unatania mkuu 🤠🤠🤠...hii timu Ina mashabiki wa rangi mbili kwli...mechi ya jana tyri imekutoa kabisa kwny reli...halafu tembo akipanda juu ya tawi tena muanze kusema ubingwa ni wetu....ajabu kwakwli....tungefungwa na kuona hatuna mpira wa kutafuta kitu tunacheza ningekaa kimya ila point moja umepitwa tyri umekata tamaa🤠🤠🤠...mkuu unaweza kwnda kujiunga na yule wa Nyukesto kama vp
 
Unaongea ukiwa serious au unatania mkuu 🤠🤠🤠...hii timu Ina mashabiki wa rangi mbili kwli...mechi ya jana tyri imekutoa kabisa kwny reli...halafu tembo akipanda juu ya tawi tena muanze kusema ubingwa ni wetu....ajabu kwakwli....tungefungwa na kuona hatuna mpira wa kutafuta kitu tunacheza ningekaa kimya ila point moja umepitwa tyri umekata tamaa🤠🤠🤠...mkuu unaweza kwnda kujiunga na yule wa Nyukesto kama vp
Worst fan base ever 😂

Mnataka wote muwe na mawazo sawa kama kombania ya jeshi😂
 
Unaongea ukiwa serious au unatania mkuu ...hii timu Ina mashabiki wa rangi mbili kwli...mechi ya jana tyri imekutoa kabisa kwny reli...halafu tembo akipanda juu ya tawi tena muanze kusema ubingwa ni wetu....ajabu kwakwli....tungefungwa na kuona hatuna mpira wa kutafuta kitu tunacheza ningekaa kimya ila point moja umepitwa tyri umekata tamaa...mkuu unaweza kwnda kujiunga na yule wa Nyukesto kama vp
hawa ni wale mashabiki wa matokeo pekee,mashabiki wasioweza kujisimamia,mashabiki wasiojiamin wala wasioona uhalisia,mashabiki wasioamini kupoteza game wanaoamin kuteleza kidogo ndo mwisho wa kila kitu,mashabiki wanosikiliza zaid ya nje kuliko ya ndani, watu aina hii hata ndani ya mambo yao wengi wanakua ivyo yan kupigwa presha kidogo na hawa nyumbu na kenge tayari kashaingia kwenye mkumbo wao,
Arsenal hii inapoteza gani lakini najivutia kwa ball linalopigwa matokea kupoteza na kushinda ni kawaida saana, game moja mbili tayari kakata ringi huyu ni shabiki au andazi
 
Astonvilla watakuja pale Emirates mtaona kitakacho wakuta, tulifungwa na lens mkasema hivhiv ila kilichowakuta pale emirates mkabadilisha na story tulien, tembo juu anarudi kama kawa,

Aston villa washukuru ubutu wa arsenal pale mbele hivhiv zahama lingewakuta.
 
IMG_2097.jpg

False hopers tunawakaribisha mchambue ushindi wa jana.

Kwa upande wangu naona mpaka january wataamua watupe kombe letu ama vipi? Maana hakuna beki wakumzuia saka, kila timu lazima imkabe na watu 2 na kule martinelii anakabwa na two players maana zimeshajua 1vs 1 madogo wanazalilisha sana mabeki.

Kinachonifurahisha zaidi ni hayo magoli mawili tuliyopata unaweza kuombea mkopo benki au nasema uongo ndugu zangu , nipo hapa naomba mkopo kwa dhamana ya goli la striker jesus .

Natanguliza shukrani kwa footweki ya raya na inverted mido ya zinchenko , bila kusahau january hii hapa tunamchukua toney na luiz ili kombe tupewe mapema zaidiii tu focus na uefa
 
Back
Top Bottom