Labyrinth 84
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 1,316
- 3,947
Tunahitaji forwad january la sihivo yatajirudia ya mwaka jana
Jesus sio forward? Maana toka asubuhi kulikuwa na ubishi humu wa striker lenu linalotakiwa na timu kubwa kuna castr wakiona unamkana main striker mzee wa ku overloading and pressing [emoji23][emoji23]