Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Props to Villa.

Back to back win against City na Arsenal is huge.

Tumetengeneza nafasi ila nafasi siyo magoli.

We move
Lile goli lililokataliwa sijaelewa....ni Havertz kashika au faulo kwa kipa🤠🤠...maana sielewielewi yaani
 
Hivi haka katimu mashabiki wake huwa wanatoa wapi nguvu za kupigia watu kelele?

Msimu wa pili huu kazi yao ni kushika nafasi za watu.

ARSENAL KONDOO!!!
 
Sio Kwa ubaya Arsenal anapoteza mechi key player wakiwepo,lakini city kapoteza mechi ambazo Rodri alikuwa suspended ,kiufupi mpaka Sasa hakuna team ya kuifunga city Rodri akiwa ndani,ufunguo wa pep ni Rodri ,kiufupi ubingwa kuuchukuwa Kwa kipara ni ngumu .
 
Back
Top Bottom