Asenyetoz Leo mnakung'utwa si chini ya goli 3 .Villa amechokoza Moto
Nimei-miss arsenal iliyotanguliwa alafu inapindua matokeo
Kama nyinyi au siyoAsenyetoz Leo mnakung'utwa si chini ya goli 3 .
Sisi hatujafungwa 3 na villaKama nyinyi au siyo
Ninyi kazi mnayo leoKama nyinyi au siyo
leo makosa yoyote yatatutesa sana
upande wa zincheko na wasiwasi nao sana
Today this is our big test for title claiming
Mabingwa feki ,mxiewwKama nyinyi au siyo
Ni kuwasagia kunguni mpaka wahame humu , imagine hawa wahuni wanajiita mabingwa wa epl[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hili jukwaa tunaliteka mpaka wiki ipite ndo tunaliachia
Nyumbu kula chuma hichoo🤣😂😆Vikojozi asenyeto mmekuwa na kidomo domo sana baada ya ushindi wa papatu papatu mechi mbili tatu hivi zilizopita ,nawakumbusha tu hii ni Epl
Take care ,ninyi ni wasindikizaji tu
Msijipe umiliki wa title ambao hamna [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kamekimbia , huwa vinatabia ya kujificha ,vinavizia mpaka vibahatishe ndio utabiona humu vimelundikana kama nyigu na statistics ushuzi [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kale kajamaa kastats za uchwara kapo shimoni.[emoji3][emoji3]