Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hv mnauhakika mtatoboa kwa Unai Emery? Huyu mzee akiamua kupaki basi mtakubali tu 🤣🤣🤣🤣🤣
 
what a game.. what a play.. arsenal inafika sana kwenye lango la villa bila kupata chchte.. nafurai tu kwamba focus ya timu bado iko on point.

inabidi umakini kwenye kuzuia zaidi mana villa wakifika kama wanavofika arsenal ujue ni kamba zote zile.. wana watu sumu mno.
 
So far hii game tumeikamata kwa 65%
Villa wamebakisha kufanya mashambulizi ya kuasitukiza

Tunahitaji utulivu
Clinical Shooting, Martinez sio Onana

Kipindi Cha pili lazima wateme bungo
 
Kai ode martinel saka Jesus

Kwa hao watu, Hauwez kumaliza dakika 90 salama
 
Sub ya maana ni Trossad Kama mchezo ukiwa mgumu

If things don't work out after 20 mins, tunatoa beki aingie wizard Trossad
 
Back
Top Bottom