Wametema kumbe?So far hii game tumeikamata kwa 65%
Villa wamebakisha kufanya mashambulizi ya kuasitukiza
Tunahitaji utulivu
Clinical Shooting, Martinez sio Onana
Kipindi Cha pili lazima wateme bungo
Eti eeh apiaWe are dubbed king of late goals, will it be possible today?
Pia inakocha mzuri, tangu Unai Emery atue pale timu imekuwa ya motoAston villa anaweza kuchukua ubingwa pia,ni timu nzuri
Kwni uongo🤠🤠ARSENAL sema mnakamsemo kenu mnasema ligi mnaanza January.
ni kweliPia inakocha mzuri, tangu Unai Emery atue pale timu imekuwa ya moto