Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Achilia mbali kuonewa kuna shida kwa martineli hayuko sawa natamanj arudi kuwa wa last season aisee

Huyu si ndo tunaambiwa wanakabwa wawili wawili na mwanae saka [emoji23][emoji23][emoji23] . After game unamtaka martineli wa last season[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaosema tumecheza vibaya siwaelewi au kwasababu hatujapata goli,
hatuna proper striker pia yule zinny tatu anakua mzigo sana hakabi, lakin kiungo mtamu n vizuri akabak tu acheze nane ya kushoto
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Asenyo banaaa, ukiwaasikia mbwembwe zao kabla ya mechi unaweza usipeleke timu uwanjani eti "Leo matokeo ni mawili tu Asenyau ishinde au Aston Villa afungwe"
Hamna kitu inanipa burudani kama kusoma comments za mashabiki wa Arsenyau timu yao inapofungwa.
 
oya wamba.. arteta ni mtu na nusu.. kwa walioangalia mpira ;arsenal lazima iku dominate ata game iweje.. big up kwake.
 
Uzuri wa haters hawaangalii yakwao wanaangalia ya wengine, man fongo kafa kikatili bado wanapumzi ya kutubeza, kuku nao chupuchupu ashukuriwe VAR lakn wanajikuta wako firee haya twendee
 
January tunahitaji wachezaji 3

Mbona mna wachezaji wengi zaidi mpaka mnarusha jezi juu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Ligi kabla haijaanza tetesi za usajili zilikuwa nyingi za arsenal, wakati kina grealish wanalewa kina halland wanafurahia ubingwa arsenal ilikua bize na kina havertz .

Saivi mnataka january ifikeee [emoji23][emoji23] mbona hamueleweki nyinyi wakati wakutafuta ubingwa mnawaza usajili wakati wa kushangilia ubingwa mnawaza usajili sasa mtasajili wachezaji wangapi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Asenyo banaaa, ukiwaasikia mbwembwe zao kabla ya mechi unaweza usipeleke timu uwanjani eti "Leo matokeo ni mawili tu Asenyau ishinde au Aston Villa afungwe"
Hamna kitu inanipa burudani kama kusoma comments za mashabiki wa Arsenyau timu yao inapofungwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom