Weekend ndefuuuuu kwekwel bila EPL...tumeshajizoelea kutoa dozi week out week inn yaan apa miguu inatuwasha.

Jumapili njema watani.
Na Mungu ni wa wote.Mti wenye matunda matamu ndio watupiwa mawe...
Inasikitisha kuona kila kukicha dua mbaya kwa ARSENAL haziishi,wengine wanaomba majeruhi wengine wanaomba iwe kama CHESKI na TORRES,plz sometimes inabidi muwe fair!

You just wait,second leg lazima tuweke shingo ya ManYoo kwenye gogo la buchani,naona mke kamuotea mume akiwa anaumwa taabani kitandani,kampiga basi naye anajiona kiduume,mnajifanya kutembea kifua mbele kama mmepigwa ngumi ya mgongo,mkija emirates mtatembea masaburi nyuma kama mbuzi kagoma kwenda!
Mkuu katika last 4 seasons Arsenal ameifunga Man Utd mara ngapi and vice versa ukiweka jibu ndio tutajua nani alimuotea mwenzake. Hii International Break hii.You just wait,second leg lazima tuweke shingo ya ManYoo kwenye gogo la buchani,naona mke kamuotea mume akiwa anaumwa taabani kitandani,kampiga basi naye anajiona kiduume,mnajifanya kutembea kifua mbele kama mmepigwa ngumi ya mgongo,mkija emirates mtatembea masaburi nyuma kama mbuzi kagoma kwenda!
Mkuu katika last 4 seasons Arsenal ameifunga Man Utd mara ngapi and vice versa ukiweka jibu ndio tutajua nani alimuotea mwenzake. Hii International Break hii.
Mkuu katika last 4 seasons Arsenal ameifunga Man Utd mara ngapi and vice versa ukiweka jibu ndio tutajua nani alimuotea mwenzake. Hii International Break hii.
Mchezaji mzuri-talented ila ana akili za kiafrika (I'm sorry to say this)Inauma sana lakini its a blessing in a disguise for the likes of FRIMPONG.
Mchezaji mzuri-talented ila ana akili za kiafrika (I'm sorry to say this)
Katika mechi ijayo joachim Low amesema per mertesacker atam-replace mats hummels ili kuimarisha ngome ya German.

Habari za jumatatu?
Hapa umenikumbusha kauli moja ya zamani aliyowahi kuisema ARSENE WENGER...Tecnology isikubalike katika mpira,kwa sababu itauwa ushabiki "UBISHANI" na ushabiki ukiondoka basi mpira utakufa!Inawezekana ndio maana ya ushabiki, kutuponda wakati tumegalagazwa chini huku hatujielewi, au inawezekana wanaipenda arsenal moyoni ila kusema wazi na kushabikia hawawezi!
Na tungekua hatusemwi hivi ingemaanisha sio threat EPL.
Wazee, Chelski, Manure, Liverscousers na Man City, wanatuogopa mno, na ndio maana ya makelele na kutuponda ivyo!

habari za jumatatu ni kuwa uefa wamekataa appeal ya wenger, hivyo basi amefungiwa mechi 2..so atakosa mechi mbili,kati ya arsenal vs borussa dortmund(away) na dhidi ya olympiacos (home)
Hapa umenikumbusha kauli moja ya zamani aliyowahi kuisema ARSENE WENGER...Tecnology isikubalike katika mpira,kwa sababu itauwa ushabiki "UBISHANI" na ushabiki ukiondoka basi mpira utakufa!
Lakini kweli huu ushabiki ndio utupelekee kuombeana kuumia?...Jaribu kuvuta picha jinsi alivyoumia EDWARDO DA SALVA mechi na Birmingham City,au Aaron Ramsey jinsi alivyoumizwa na Ryan Showcross wa Stoke City.