Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Katika big 5,wawili(liver na Man) wametuumbua tayari,sasa hao watatu waliobaki lazima tuwageuze makoo tuwatagishe mayai,na mliotuotea,watchout second leg!

Safi Jagi
Bao nane 'tumeotea'....moja, mbili, tatu, nne, tano, sita, saba na naneeeeeeeee!
Second leg mnapigwa fo oclock Emirata. Mark my words dude!
 
Safi Jagi
Bao nane 'tumeotea'....moja, mbili, tatu, nne, tano, sita, saba na naneeeeeeeee!
Second leg mnapigwa fo oclock Emirata. Mark my words dude!

hahaha... hiypo post 14613 nitihafadhi alafu nitakuja kukumbusha hiyo siku.. tuombe uzima
 
Naona unachekelea mabaki ya Chelsea!....Desperation!

Kwani amecheza mechi ngapi na Chelsick? Bado ni mchezaji wenu mmeshindwa kumpa mechi na sugar daddy kashindwa kumlipa kila wiki hivyo mmeona bora tuwasaidie aje tumlipe na kumpa mechi. .... ..... .... bila kusahau Arteta atashindana na Tor the res mwisho wa msimu tuone nani kafunga magoli mengi khe he khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Arteta ni mchezaji mzuri na replacement nzuri ya Fabregas ila nina wasiwasi na majeruhi kama ilivyo kwa Benayoun,Huyo mjerumani naona atawasaidia hasa kuwakoromea hao kina Gibbs hapo nyuma huyo Mkorea galasa
 
katika Goal.com Biggest transfer tease wameandika ni ya Park Chu-Young (from Monaco to Arsenal, via Lille..... )

The South Korean striker had a deal lined up to join the Ligue 1 champions and was penciled in for a medical there, but when the club's directors went to meet him, they found his hotel room empty as he'd hopped on the Eurostar to sign for the Gunners.

He's the footballing equivalent of the girl you chat to all night long in the pub only to see her walk off with your more handsome mate. What a kick in the nuts, eh?

yaani kama namuona vile alivyopata simu na jinsi alivyoondoka faster hoteli bila hata kuaga....
 
Kumbe hili jukwaa lina mashabiki wengi,mbona siku za mechi hamuonekani?
Belo.....Katika majukwaa ya timu zote humu jukwaa ambalo huwa halikauki mashabiki wa timu husika ni hili la Arsenal......Tushinde,tutoke sare ama tufungwe lakini wana Arsenal siku zote tunawakilisha kama kawa,lije jua ije mvua.....Ndio maana ukiangalia utaona hili ni jukwaa(kwa sports) lenye page nyingi(731 pages) na post nyingi(zaidi ya post 14,500) kuliko majukwaa mengine yote.....Sisi daima tupo hapa hata kama ligi imemalizika,ni tofauti na majukwaa mengine ambayo wenye nayo hutokomea kusikojulikana hasa timu zao zinapofungwa(wanajulikana)....Wengine kutwa kucha wapo hapa jukwaani kwetu......

Last edited by a moderator:
...khe khekhe... Bandikeni ukutani kabisa hiyo result ya 8-2 iwapo inawapa ashki ya kulia bamia, au mhemuko wa kutafutia usingizi.

Arsenal twasema, yalopita si ndwele...kama viraka AW keshatafuta OKO na Supa-glu!...waliotaka afukuzwe wanajipitisha ati kumpongeza kwa usajili...yote tisa...

Kwa sie, hususan wapenzi wa 'wengerball'---kumi twajisemea twaanza alifu kwa ujiti...! hatuna papara wala nini...team imesukwa upya...kilichobaki kununua tende na halua tayari kufurahia tena ---Wengerball---na vijikombe vyetu vya kahawa!

Arsene tried, lakini siku zote tunasema malipo ya punda mateke. Ipo siku FA, English Media na Europe, hususan kina Fab, £lamini, Na$ri, watajutia walichomtendea huyu babu na filosofia yake ya "ARSENE" YOUTH ACADEMY...

In Arsene Wenger I Trust...he's irreplaceble. He's our identity, our (manure) Sir Fergie or, our (chelski) Mourinho or, He's our vision...the club best Manager.

Natuanze league sasa...
 
katika Goal.com Biggest transfer tease wameandika ni ya Park Chu-Young from Monaco to Arsenal, via Lille....
yaani kama namuona vile alivyopata simu na jinsi alivyoondoka faster hoteli bila hata kuaga....

...safi sana. Hawa ndio wachezaji tunaowataka waichezee Arsenal. Wenye mioyo na mapenzi ya team. Sio wale ambao walithaminiwa na kupendwa ilhali macho na tamaa zao zilikuwa nje... Wakajitembeza na kujitongozesha, sasa twawaona wakihaha bila uthamani..na wengine walijitangaza hadharani hata kwa pay cut warudi Arsenal, walipokuwa wakicheza real football...

Yu wapi Hleb? Adebayor? Diarra? Bentley? Pennant? ...kuna msemo.."usiinyee kambi"...aheri yake Fab karudi nyumbani, $amir Na$ri nampa mpaka Xmas, mtakuja nambia hapa...

Mancini huyu aloua kipaji cha Shaun Wright Phillips, haaaya...
 
Duh! with this lineup Arsenal itakuwa among the oldest in premier League Almunia(34), Sagna(28), Squillacy(31), Santos(28), Merteserke(26), Arteta(29), Benayoun(31), Arshavin(30), Van Persie(28), Rosiscky(30), Chamack(27). HA HA HA HA AAA................!
 
...khe khekhe... Bandikeni ukutani kabisa hiyo result ya 8-2 iwapo inawapa ashki ya kulia bamia, au mhemuko wa kutafutia usingizi.

Arsenal twasema, yalopita si ndwele...kama viraka AW keshatafuta OKO na Supa-glu!...waliotaka afukuzwe wanajipitisha ati kumpongeza kwa usajili...yote tisa...

Kwa sie, hususan wapenzi wa 'wengerball'---kumi twajisemea twaanza alifu kwa ujiti...! hatuna papara wala nini...team imesukwa upya...kilichobaki kununua tende na halua tayari kufurahia tena ---Wengerball---na vijikombe vyetu vya kahawa!

Arsene tried, lakini siku zote tunasema malipo ya punda mateke. Ipo siku FA, English Media na Europe, hususan kina Fab, £lamini, Na$ri, watajutia walichomtendea huyu babu na filosofia yake ya "ARSENE" YOUTH ACADEMY...

In Arsene Wenger I Trust...he's irreplaceble. He's our identity, our (manure) Sir Fergie or, our (chelski) Mourinho or, He's our vision...the club best Manager.

Natuanze league sasa...
Sawa sawa Comrade.....Mimi ni mmojawapo wa waliokuwa wanataka AW atimuliwe kama si kuondolewa kutokana na ukaidi wake na sera yake ya kusajili watoto ambayo kimsingi imefail........

At least safari hii amesikiliza kilio cha wengi kwa kutuletea wachezaji wenye majina na waliokomaa kisoka na ambao wanaweza kuturudishia tumaini lililopotea katika title race ya EPL badala ya kusajili watoto ambao inachukua muda kuwatengeneza.....

Wenger na bodi wasingesajili safari hii ingekuwa ni Anguko kubwa sana la Ashburton Grove na thank God wameliona hili ndio maana wameamua kuwalipia mashabiki tiketi kwa away game kutokana na kadhia iliyopatikaana wakati wa game na Man Utd.......Kikosi kilikuwa dhaifu mno na kipigo kilikuwa ni cha aibu na fedheha kweli.....

Kwa usajili huu alioufanya naanza kuona ujio mpya wa enzi za The Invincibles.....Na sasa(baada ya usajili huu wa nguvu(hasa wa Arteta, Per na Andre bila kuwasahau Yossi,Gervinho na AOC) nachelea kusema kwamba kuanzia leo In Arsene I Trust.........Yes I said it, In Arsene I Trust
 
Duh! with this lineup Arsenal itakuwa among the oldest in premier League Almunia(34), Sagna(28), Squillacy(31), Santos(28), Merteserke(26), Arteta(29), Benayoun(31), Arshavin(30), Van Persie(28), Rosiscky(30), Chamack(27). HA HA HA HA AAA................!

hahaha majungu hayo.... !!! nyinyi si ndio mlikuwa mnatubeza tuna vitoto..... tumefanya usijili... mmegeuza kibao tuna wazeee!!! !! sasa chelsea utasemaje, ?! hujawaona kina jenkison wenye miaka 18, kian chemberlin na wengineo...!!

hater :msela:
 
Sawa sawa Comrade.....Mimi ni mmojawapo wa waliokuwa wanataka AW atimuliwe kama si kuondolewa kutokana na ukaidi wake na sera yake ya kusajili watoto ambayo kimsingi imefail........

At least safari hii amsikiliza kilio cha wengi kwa kutuletea wachezaji wenye majina na waliokomaa kisoka na ambao wanaweza kuturudishia tumaini lililopotea katika title race ya EPL badala ya kusajili watoto ambao inachukua muda kuwatengeneza.....

Wenger na bodi wasingesajili safari hii ingekuwa ni Anguko kubwa sana la Ashburton Grove na thank God wameliona hili ndio maana wameamua kuwalipia mashabiki tiketi kwa away game kutokana na kadhia iliyopatikaana wakati wa game na Man Utd.......Kikosi kilikuwa dhaifu mno na kipigo kilikuwa ni cha aibu na fedheha kweli.....

Kwa usajili huu alioufanya naanza kuona ujio mpya wa enzi za The Invincibles.....Na sasa(baada ya usajili huu wa nguvu(hasa wa Arteta, Per na Andre bila kuwasahau Yossi,Gervinho na AOC) nachelea kusema kwamba kuanzia leo In Arsene I Trust.........Yes I said it, In Arsene I Trust

naam mkuu! naona itakuja kufana na arsenal hii hapa.. wachezaji wakishazoeana....

Last edited by a moderator:
262534_260970773919410_153992474617241_1282102_4564225_n.jpg

Now that the transfer window has shut, thank god I hear some of you say, now is the time to sit back and relax and take a look at all of the comings and goings over the past few days and months. Below is a list of all the major transfers seen at the Emirates this summer.

In Coming Players

Joel Campbell – Saprissa – Undisclosed Fee

Alex Oxlade Chamberlain – Southampton – £15million

Gervinho – Lille – £10.5million

Mikel Arteta – Everton – £10million

Per Mertesacker – Werder Bremen – £8million

Andre Santos – Fenerbahce – £6.2million

Carl Jenkinson – Charlton Athletic – £1million

Yossi Benayoun – Chelsea – Season Long Loan

Chu Young Park – Monaco – Undisclosed Fee

Out Going Players

Cesc Fabregas – Barcelona – Undisclosed Fee

Samir Nasri – Manchester City – £25million

Gael Clichy – Manchester City – £7million

Emmanuel Eboue – Galatasaray – £3million

Gilles Sunu – FC Lorient – Undisclosed Fee

Armand Traore – Queens Park Rangers – Undisclosed Fee

Jay Emmanuel Thomas – Ipswich Town – Undisclosed Fee

Joel Campbell – FC Lorient – Season Long Loan

Nicklas Bendtner – Sunderland – Season Long Loan

Henri Lansbury – West Ham United – Season Long Loan

Carlos Vela – Real Sociedad – Season Long Loan

Denilson – Sao Paulo – Season Long Loan

Kyle Bartley – Glasgow Rangers – Season Long Loan

Duh! with this lineup Arsenal itakuwa among the oldest in premier League Almunia(34), Sagna(28), Squillacy(31), Santos(28), Merteserke(26), Arteta(29), Benayoun(31), Arshavin(30), Van Persie(28), Rosiscky(30), Chamack(27). HA HA HA HA AAA................!
Lol......Yashakuwa hayo????....Huu unafiki sasa aisee....

Mtasema yote aisee......Wakati mwingine ni heri kukaa kimya tu kuliko kuongea upupu...

Btw....Unavyosema among the the oldest in EPL unamaanisha umri wa wachezaji ama umri wa timu(kwa hili ni kweli maana mwaka huu tunaadhimisha miaka 125 tangu Arsenal ianzishwe)

Vipi kuhusu hii...

Petr Cech(29), Ivanovic(27), Ashley Cole(30), Essien(28), Lampard(33), Torres(27), Malouda(31), Drogba(33), Meireles(28), Bosingwa(29), Ferreira(32), Kalou(26), John Terry (30), Alex(29), Anelka(32), Hilario(35)............Hawa ndio unaweza kuwaita wazee,lakini pamoja na uzee wao vitu vyao vinaonekana na ni wapinzani wakubwa katika title race ya EPL.....

Age ain't nothing but a number....
 
<br />
<br />
Katika big 5,wawili(liver na Man) wametuumbua tayari,sasa hao watatu waliobaki lazima tuwageuze makoo tuwatagishe mayai,na mliotuotea,watchout second leg!

Loser fools na Manure tupo half time mkuu wale usikonde bure .... .... na hawa watoto wa kambo.
 
Kwa usajili huu alioufanya naanza kuona ujio mpya wa enzi za The Invincibles.....Na sasa(baada ya usajili huu wa nguvu(hasa wa Arteta, Per na Andre bila kuwasahau Yossi,Gervinho na AOC) nachelea kusema kwamba kuanzia leo In Arsene I Trust.........Yes I said it, In Arsene I Trust

Safi sana mkuu.

Kwahio nachukulia kwamba nimepata baraka zako za kuendelea kutumia jina hili la AW ... lol.
 
Back
Top Bottom