ARSENAL's NEW STARTING LINE UP-ARTETA,MERTESACKER AND SANTOS.MAKE THE TEAM.
ARSENAL's NEW STARTING LINE UP-ARTETA,MERTESACKER AND SANTOS.MAKE THE TEAM.
Nimehuzunika tumeuza Jay Emmanuel Thomas huyu angetufaa sana siku za mbele, Lansbury nae ni mchezaji mzuri ila naona Wenger kakubali kuwaachia hawa wanawe akiwemo Sunu ili ku-acommodate wachezaji wetu wapya, haya ni mapinduzi ambayo ilikuwa hakuna jinsi yafanyike kwa sababu hawa watatu ni katika watoto wake vipenzi.
Nasikia Arteta atavaa jezi namba 8 iliyoachwa na Le gaellic traitor?
Kama FRIMPONG asingeliumia msimu uliopita,angekuwa na nafasi kubwa kwa msimu huu, na MIYAICHI anahitaji muda ingawa alikuwa na msimu mzuri akiwa na Fayenoord,lakini Eredivisie ni tofauti kidogo na Premier League,so I can see both of them playing big party in the Carling Cup and FA Cup.Frimpong na Miyachi ni LAZIMA WAWEPO KWENYE BENCH.
Squad imetulia kidogo io
Frimpong atacheza big part na sio kwa mechi za FA/carling tu bali EPL, huyu dogo Wenger anam-rate so high na alikuwa yeye ndio awe promoted kwenye full squad hata kabla ya Jack Wilshere lakini majeruhi yake ndio yaliyompa Jack nafasi, that is how high Wenger anam-rate huyu dogo.Kama FRIMPONG asingeliumia msimu uliopita,angekuwa na nafasi kubwa kwa msimu huu, na MIYAICHI anahitaji muda ingawa alikuwa na msimu mzuri akiwa na Fayenoord,lakini Eredivisie ni tofauti kidogo na Premier League,so I can see both of them playing big party in the Carling Cup and FA Cup.
Nadhani ukitazama utaona kuna wachezaji kama KOSCIELNY ambaye binafsi namuweka mbele ya DJOUROU hawapo hata reserve,

Mh!itokee miracle hili kosi lisikumbwe na majeruhi ni ku-distribute pains kwa kwenda mbele!
Frimpong atacheza big part na sio kwa mechi za FA/carling tu bali EPL, huyu dogo Wenger anam-rate so high na alikuwa yeye ndio awe promoted kwenye full squad hata kabla ya Jack Wilshere lakini majeruhi yake ndio yaliyompa Jack nafasi, that is how high Wenger anam-rate huyu dogo.
Nadhani ukitazama utaona kuna wachezaji kama KOSCIELNY ambaye binafsi namuweka mbele ya DJOUROU hawapo hata reserve,
ABOU DIABY,despite his in and out,on his days has quality,ALEX OXLADE-CHAMBERLAIN the kid is good enough to make impact on his debut season,and many football expert rate him higher than THEO WALCOT...and CHAMAKH kwa sasa ni third choice striker.
And on top of that Mungu wetu sote safari hii ARSENAL inaweza kuwa na injury free.
Uzuri wa mchezaji wa kiingereza akija ku-peak hana mapepe ya kuhama hama kama hao akina Cesc,Nasri Ade,Hleb etc tec,atakuja saidia chama.na ukiangali wachezaji aliosajili wenger Alex Oxlade Chamberlain – Southampton – £15million ndio wa bei ghali.. inaelkea prof. anamuamini na ana mategemeo makubwa kwa huyu kijana...
GOYANG, South Korea - A hat trick by new Arsenal signing Park Chu-young lifted South Korea to win over Lebanon in their World Cup qualifier on Friday.

hebu kwanza nianze kucheka!!! hehehehehehe!!!!!!!! habari ipo hivi .....

Uzuri wa mchezaji wa kiingereza akija ku-peak hana mapepe ya kuhama hama kama hao akina Cesc,Nasri Ade,Hleb etc tec,atakuja saidia chama.
Inasikitisha kuona kila kukicha dua mbaya kwa ARSENAL haziishi,wengine wanaomba majeruhi wengine wanaomba iwe kama CHESKI na TORRES,plz sometimes inabidi muwe fair!
Yaaap.........

naungana mkono kabisa na wewe, wachezaji wa kiingereza wako commited sana na club zao kuliko wageni.