Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jirani.......

Hivi hakuna habari za kuripoti zinazoihusu Chelsea?......Naona wewe kutwa kucha upo Arsenal Special Thread........Mpaka inakera yaani...

Halafu kila wakati uko hasi.....

Itabidi tukupe umod wa Arsenal Special Thread sasa.......

Btw.....Mzima lakini jirani yangu?

Tembelea jukwaa la Chelsea utakuta post zangu kibao!
Niko hapa kuwafariji wafiwa, maana misiba haikauki hapa....na nitaendelea kuwepo, just to quote your signature, P is always here.......!

Salama lakini?

Evolution

314661_120699261364173_119015798199186_89733_762780_n.jpg

• Thanks
Reactions: Mbu
Jirani.......

Hivi hakuna habari za kuripoti zinazoihusu Chelsea?......Naona wewe kutwa kucha upo Arsenal Special Thread........Mpaka inakera yaani...

Halafu kila wakati uko hasi.....

Itabidi tukupe umod wa Arsenal Special Thread sasa.......

Btw.....Mzima lakini jirani yangu?
Huwa namshangaa sana huyu bwana.

Jirani.......

Hivi hakuna habari za kuripoti zinazoihusu Chelsea?......Naona wewe kutwa kucha upo Arsenal Special Thread........Mpaka inakera yaani...

Halafu kila wakati uko hasi.....

Itabidi tukupe umod wa Arsenal Special Thread sasa.......

Btw.....Mzima lakini jirani yangu?

We umeshasema huyo ni jirani yako sasa unataka akuache peke yako kwenye matanga? Ni kawaida kabisa jirani kukufariji wakati wote wa msiba

Nashukuru kwa kuliona hilo mkuu, na ninafurahi kutimiza wajibu wangu kama jirani mwema!

Tembelea jukwaa la Chelsea utakuta post zangu kibao!

Niko hapa kuwafariji wafiwa, maana misiba haikauki hapa....na nitaendelea kuwepo, just to quote your signature, P is always here.......!

Salama lakini?

Tembelea jukwaa la Chelsea utakuta post zangu kibao!

Niko hapa kuwafariji wafiwa, maana misiba haikauki hapa....na nitaendelea kuwepo, just to quote your signature, P is always here.......!

Salama lakini?

Ok monitor wa darasa!

Garry cook kajiuzulu huko mcfc..kuhusu ile skendo ya kumtumia email chafu mama yake onouha anayeumwa kansa.

A good thing about hawa new signings wetu, wanaonekana wanamapenzi ya ukweli na Arsenal kutoka moyoni,,a must win game 2morow.

Umejuaje?, mapenzi ya kweli wakat hawajakipiga kipute ata kimoja?..Ata Nasri na Fab walisema'ga' ivoivo wakat wanasaini: 'my dream has come true...blah blah blah wengiiiiii!' sijui Arsenal is a biggest club, mara Wenger n like faza sijui great meneja...wako wap sasa?

How do you know that?.......you must be under delusion.

per martesacker amekuwa akisapoti gunners tangia akiwa na miaka 12, na Tony adams ndiye role model wake..je unataka mfano mwingine?

[h=2]Wenger: Deals not knee-jerk[/h]Arsene Wenger insists none of his new signings were knee-jerk reactions to Arsenal's heavy defeat at Old Trafford. Read

per martesacker amekuwa akisapoti gunners tangia akiwa na miaka 12, na Tony adams ndiye role model wake..je unataka mfano mwingine?

Yeah, wote mliosajili ni washabiki wa Arsenal toka wakiwa wadogo, hii kiboko! khe khe kheeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!

A good thing about hawa new signings wetu, wanaonekana wanamapenzi ya ukweli na Arsenal kutoka moyoni,,a must win game 2morow.
Leo anakiss badge, kesho analazimisha transfer kwenda kwa rivals wenu..! Life of modern day players.

Unachokisema ni sahihi kabisa,lazima baadaye watahitaji kwenda club zingine tena hata kwa ma-rivals wetu,na pia kuna players wengine wenye viwango vizuri watahitaji kuja arsenal,ni mwendo wa kupishana kama seat ya matatuu.

Back
Top Bottom