Shida ni kwamba hampendi kukubali new ideas, yani mtu akiandika tofauti na ulichoandika unahisi kama anakukosoa, no, vitu haviendi hivyo, ni elimu tu bro tunajifumza.Mbona unaongea Kama ugomvi, Kuna sehemu nimekwambia Rice ni natural 8?
Hata Partey akiwa mzima ,Kuwatumia wote ,Rice atacheza LCM
Na Douglas Luiz sio elite kwa LCM kuliko Rice
Simple tu Luiz akija ili uwatumie wote na Rice ,itakubidi umtumie Rice as LCM
Kitu Kama hiki hakihitaji akili nyingi kujua
Hamis anasema Luiz hawezi kucheza LCM wakiwa pamoja na Rice, sisi waga tunawakumbusha.Mbona unaongea Kama ugomvi, Kuna sehemu nimekwambia Rice ni natural 8?
Hata Partey akiwa mzima ,Kuwatumia wote ,Rice atacheza LCM
Na Douglas Luiz sio elite kwa LCM kuliko Rice
Simple tu Luiz akija ili uwatumie wote na Rice ,itakubidi umtumie Rice as LCM
Kitu Kama hiki hakihitaji akili nyingi kujua
Kenge gang (nyumbu & vyura fc) hawatakuelewaArsenal ndio most fearless team ulaya ukibisha bisha
Ndio inaongoza kupakiwa Basi
Lakini ina backline ngumu kuifungua
Haya Ni magoli manne jinsi Arsenal alivyofungwa mech zilizopita
Three dodgy calls not over turned by VAR.
Fluke cross
Generous penalty
Horrible mistake by Jorginho gifting a goal
Kwa Sasa ukifanikiwa kutengeneza XG vs Arsenal ya 1.0 wewe mwanaume
Hapo Kuna injuries za key players hawapo
Martin Ødegaard
Partey
Timber
Smith Rowe
Kwani mkuu una tatizo gan mbna unaonekana unaichukia sana arsenal kuna sehemu imekukosea nin?Humu mbona zimetawala habari za transfers vipi kwani january tayarii ?
Wakati june inaingia kwenye thread ya man city au habari kwa ujumla ilikuwa jinsi gani grealish analewa siku 3 mfululizo kwa furaha ya ubingwa wa EPL, FA CUP na UEFA wala kulikua hakuna tetesi sijuii za usajili kwenye thread yao ni vile halland anamwagia champagne bernado silva .
Huku kwenye thread ya False hopers ilikua ni tetesi za usajili sijuiii rice mara kai havertz mara raya 24/7 , muda wa kushangilia ubingwa zilikua ni tetesi za usajili muda wa kutafuta ubingwa bado tu mpo na tetesi za usajili mara toney mara zubimendi mara douglas luiz.
Rice ,raya, Jorginho, timber na kubwa la maadui kai havertz mmewapata lakini bado mpo na tetesi za usajili utafikiri tushafika january , ina maana kikosi bado hakitoshi tu false hopers.
Tuko bize na kutafuta ubingwa nyie mpo bize na usajili kama hamuamini rudi june angalia picha za page za timu nyingine then uangalie na arsenal au thread za humu ndani tu
sisi hatulii tunataka consistency.. kwa nini mpira ule kwa Rushford ulihesabika umetoka na kwetu imekua goli na kingine ambacho hujui uiengereza inaongoza kwa kuwa na bookmarkers wengi wa kamari game zinakua hazina fairness...Nyie kondoo punguzeni kulialia, hakuna siku VAR ilishawahi kuwafavour?, mlilalamika?
Wapinzani nawaambia safari hii ni bora ugongwe na gari kuliko kukutana na Arsenal!
kuna cave moja alipiga sema ikawa off targetJana alichokosa ni kutumbukiza mpira wavuni tu...mengine yte alifanya sahihi kabisa
tomiyasu anazidi kuiva siku hadi sikuIla akirudi...Arteta aendelee na back 4...mambo ya kumuweka nje toto tundu Malgalhaes hatutaki kabisa...Zinny ndo aanzie nje...yle mjapani wetu atakuwa anapokezana na Benny white a.k.a Blanco....ila natamani sana Kiwior awe anapewa 90 mins hzi mechi ndogondogo kama na kina Manunu au Chelkenge
Na wewe hivo hivo hampend kuheshimu mawazo ya wenzenuShida ni kwamba hampendi kukubali new ideas, yani mtu akiandika tofauti na ulichoandika unahisi kama anakukosoa, no, vitu haviendi hivyo, ni elimu tu bro tunajifumza.
ESR ni asset nzuri majeraha yamemueka nje ila naamini sana kwenye ubora wakeinatafutwa £100m ili timu iweze kumnunua Toney next January.Four players could be sold in order to raise the needed cash:
ESR
Partey
Ramsdale
Nketiah
Source: Athletic
Sijasema hawez ,nimesema Rice Ni LCM mzuri kuliko Luiz,Hamis anasema Luiz hawezi kucheza LCM wakiwa pamoja na Rice, sisi waga tunawakumbusha.
ukitana na bayern leverkusen anakuchapata nje ndani vizurii tu yanii...... sasa uyo kopehageni game ya kwanza mlichomoa penalty mkambeba onana kama lulu afu game ya pil umekufa... europa ina watu wake kule sio kinyongeNipo katika group of death na still nina chance ya kutoboa , usilinganishe geodie fans na false hopers .
Tukienda ueropa ndo kabisa tunahesabu tayariii kombe 1 kabatini team pekee ambayo tutaenda kwa umakino ni Liverpool tu wengine tunapiga .
Halafu kwanza huko europa hatuendiii na hata tukienda ni poa tu kuliko kuwa kama nyinyi mnatoka 16 bora.
Ni Kama tunavyomtumia Jorginho Sasampira wa sasa sio about numbers au positions za wachezaji bali ni majukumu
yapi wanayoyafanya uwanjani kulingana
na namna timu inataka icheze dhidi ya mpinzani.
kwa namna arsenal inavocheza ;ni ngumu sana luiz kufanya majukumu ya rice mana inatakiwa ku cover distance kubwa zaidi uwanjani na uwe mzuri zaid kiukabaji.
so.. kama utataka wote waanze.. itabidi luiz agewe kipande kidogo cha uwanja na asiwe anapanda sana juu bali awe anacheza zaidi na beki wawili wa kati.. ila rice anabaki kama anavocheza saivi.. zile panda shuka na kuja kukaba wakti timu inashambuliwa.
Sharti tu ! ,Mkipewa kisago cha mbwa mwizi Msikimbie jukwaa na kuanza kutukanana humu ,maana hii ndio tabia yenu washabiki wa asenyetoNyie sijui mnaangalia mpira upi
Madrid ile tishio iliishia pale alipoondoka Benzema
Hii ya sasa ya kawaida ,naomba tukutane nao uone kipigo watakachopewa
Bayern ,amerud Neur wameanza ku keep Cleansheet
Madrid nataman Sana tukutane nao aisee,
Hizi Vita ndogo ndogo sana
Kama kweli hii ni mentality ya kocha wetuMikel Arteta claims Kai Havertz has probably been Arsenal’s best player over the last three games against West Ham, Newcastle United and Sevilla.
The German looks to finally be finding his feet in North London. #afcView attachment 2809561
ESR ni asset nzuri majeraha yamemueka nje ila naamini sana kwenye ubora wake