Zinchenko akae benchi kwakwli...hyu jamaa hajui kukaba kabisa...mwaka jana na Liverpool ndo alitusababishia draw pale Anfiled na ndoto za ubingwa zikaanza kufia pale....juzi goli la pili katusababishia yy...kapinduliwa kipumbavu na Kudus....hyu mechi zake ni kina Luton Town...I just wish kwa Newcastle tuingie hivi
Role ya Joginho acheze Rice
Role ya Rice acheze Zinny
Daaaah utapigwa mwingi ile kinoma noma
View attachment 2802146
Sijajua kwann Trossard hajatumika kama LCM so far au mazoezini hamshawishi mwalimu labda....ila nadhani akicheza pale tunaweza kupata kitu tofauti maana jamaa anajituma kiukweliZinchenko akae benchi kwakwli...hyu jamaa hajui kukaba kabisa...mwaka jana na Liverpool ndo alitusababishia draw pale Anfiled na ndoto za ubingwa zikaanza kufia pale....juzi goli la pili katusababishia yy...kapinduliwa kipumbavu na Kudus....hyu mechi zake ni kina Luton Town...
Huyo jamaa yupo vizuri kichwani, analeta kitu na evidence ya kueleweka. Sio hiz kondoo za Arteta unakuta mchezaji kacheza hovyo na unaona kbs kavurunda, kondoo inadownload tu grafu inatuletea kua kacheza vizuri kisa tu kaikuta mtandaoni.Eboo kwamba CURTAIN RAISER😂😂 si bonanza hili halafu wanajisifia wamechukua kikombe. Mkuu hizi spana unazowapiga ni hatari😂😂
Ila baada ya kipigo cha juzi akili imeanza kuwaingia. Kelele za kikosi kipana zinaanza kupunguaHuyo jamaa yupo vizuri kichwani, analeta kitu na evidence ya kueleweka. Sio hiz kondoo za Arteta unakuta mchezaji kacheza hovyo na unaona kbs kavurunda, kondoo inadownload tu grafu inatuletea kua kacheza vizuri kisa tu kaikuta mtandaoni.
Ndio mana nikakuuliza nafasi ya ngapi inasaidia nini kwa sasa? Kama msimu uliopita mlikaa top msimu mzima mkaambulia mikono mitupu sawa na chelsea, haina maana kujitapa wkt tunawajua.Kuona hzi kelele zinazopigwa zinaakisi ubora na form ya timu at the moment au ni ngonjera.....samahani kwani na nyny ni wangapi sasahv🤠🤠🤠...chondechonde j3 mjitahidi hata mtoe draw tu na Spurs maana kushinda hamuwezi na kile kikundi chenu cha wafukuza upepo.... tutakuwa tyri tupo juu ya msimamo wa ligi...hatutaki kutoka tena
Nyie kondoo si mliaminishwa kua bila Ziny Arse888 haiwezi kuoverload? Kama mnavyoaminishwa sasa bila Kai Arse888 haiwezi kuwin mipira ya juu. Na huwa mnaamini!!! Yaan nyie kondoo mnapelekwa pelekwa mpk huruma.Zinchenko akae benchi kwakwli...hyu jamaa hajui kukaba kabisa...mwaka jana na Liverpool ndo alitusababishia draw pale Anfiled na ndoto za ubingwa zikaanza kufia pale....juzi goli la pili katusababishia yy...kapinduliwa kipumbavu na Kudus....hyu mechi zake ni kina Luton Town...
Wewe hukutufunga kama kweli kikundi cha ngoma.Kuona hzi kelele zinazopigwa zinaakisi ubora na form ya timu at the moment au ni ngonjera.....samahani kwani na nyny ni wangapi sasahv...chondechonde j3 mjitahidi hata mtoe draw tu na Spurs maana kushinda hamuwezi na kile kikundi chenu cha wafukuza upepo.... tutakuwa tyri tupo juu ya msimamo wa ligi...hatutaki kutoka tena
Kwa quality ya wachezaji Chelsea imewazidi arsenal pakubwa sana. Ni vile tu Chelsea hatujaelewana badoNilishawahi kumwambia HAMIS humu aache tabia yake ya kuwaaminisha watu UPUUZI,na cha ajabu akiwekaga VITAKWIMU vyake vya kihuni kuna watu huwa wanamuamini utafikiri wamelongwa,Arsenal bado haina Kikosi kipana ambacho HAMIS huwa anashinda kuwaaminisha watu humu!!
Hahaha Chelsea akiuza mchezaji shtuka kaka. Hakuna mchezaji mzuri anaweza toka Chelsea kwenda Arsenal kaka. Rejects zetu ndo tunazidump kwenu.Mechi ya kesho ni ngumu sana sio ya kuichukulia poa hata kidogo,na kwa pancha za mara kwa mara za wachezaji muhimu ni vizuri January kuongeza watu wa kazi,lakini kutegemea midondo kama Kai na Jorginho hatufiki popote
Alisema kukaba ndo weakness yake. Halafu ni beki.Zinchenko akae benchi kwakwli...hyu jamaa hajui kukaba kabisa...mwaka jana na Liverpool ndo alitusababishia draw pale Anfiled na ndoto za ubingwa zikaanza kufia pale....juzi goli la pili katusababishia yy...kapinduliwa kipumbavu na Kudus....hyu mechi zake ni kina Luton Town...
Hawa inabidi watandikwe na Newcastle hawa watatafutana humuIla baada ya kipigo cha juzi akili imeanza kuwaingia. Kelele za kikosi kipana zinaanza kupungua
Sasa jamaa unaishi kwenye ulimwengu wa predictions?Li-tarakilishi kubwa kabisa(supercomputer) limetabiri tena na Newcastle mnashinda tatu bila. Hii taarifa mpeane makondoo wote, kwamba mnampiga mtu tatu.
Anzeni kuisambaza sasa hivi. Au tumsubiri mchunga kondoo aje awaambie??
Hujamuelewa. Wewe utakua mgeni hapa?Sasa jamaa unaishi kwenye ulimwengu wa predictions?
Labda sijamuelewa. Nieleweshwe.Hujamuelewa. Wewe utakua mgeni hapa?