Ila kesho Manunu naomba washinde🤠🤠...itakuwa ni nafuu kubwa sana kwetuAstonvilla niliwatabiria makubwa Sana msimu huu
Kenge fc ana mech 8 dume, had kufikia mechi ya 18-19 akiwa ndani ya top 10 Basi wao wanaume
Kufikia mech ya 18-19 ,Kenge FC watakuwa 13-17
Nyumbu fc hawa mwaka huu top 7 hawagusi maana hawana uwezo wa kuwachomoa Arsenal city Spurs Liverpool, Brighton Astonivilla na Newcastle
Kifupi nyumbu hizi wiki 2 alikuwa honeymoon, now anarudi kwenye vipigo vitakatifu Hadi nafasi za 8-12
Yule jamaa wa Nyukesto haonekani humu sasahv...aje kuanza kuleta shombo maana wiki ijayo tunacheza nao tuone watakavyocheza bolu...leo wametolewa kamasi na Wolves halafu na yy anajiona anagombea ubingwa

.Wewe week ijayo pale st james unakufa utake usitake , sasa kama wolves unaona ni watoto subiri ukutane nao.
Huo ubingwa wewe kwani unagombania.
Wewe endelea kujiita title contender ndo taji lako hilo msimu huu.
Msemaji wao anasema walianza na ratiba ngumu sana....akatuaminisha Sasa ndo wataanza kushinda rasmi...watu wazima tukimuambia wao bdo watoto wadogo anajibishana na sisi hmu....UEFA ndo anaenda kutoka na ligi kuu ndo anazidi kudondosha points...wa kuwaangalia kwa jicho la tatu safari hii ni Aston Villa...vijana wanaubonda kwlikwli tofauti na Hawa wafukuza upepo Nyukesto![]()


kama unadhani Newcastle anatoka UEFA makundi utaendelea kuomba sana lakini majibu yatakua empty.Narudia tena...nyny ni watoto wadogo sana....mnachojua ni kukimbiakimbia tu....leo mnatupwa huko nafasi ya nane mkagombane na kina Fulham huko😀😀😀...nilikuambia UEFA points 9 hufikishi na hazifiki kwli....Dortmund ataenda kukutafuna kwake na PSG atajipigia....mechi yenu na Milan Draw...unabisha ngoja uone....mchezaji Longstaff akuvukishe hatua ya makundi UEFA kwli????...yatakuwa ni maajabu kwlikwliPiga kelele lakini jua arsenal ni chura tu lazima tembo watakunywa maji.
Yaani Arsenal na wewe unajiita mtu mzimakama unadhani Newcastle anatoka UEFA makundi utaendelea kuomba sana lakini majibu yatakua empty.
Hao aston villa walishachezea mkono ila wewe ndo utaenda kufa maana last time ulibahatisha sasa Unai analipa kisasi .
Hizi game wewe hutoki Newcastle, Liverpool, Astonvilla, Brighton hizi zote umeshika points za watu tu.
Sawa bingwa Arsenal sisi wafukuza upepo hizi 5 ulizoshinda leo zinakupa kiburi ungejua huyo anaekupa kiburi sisi alikula chuma 8 kama zile mlizokula kipindi kile man utd yuko fiti.
Tusubiri hio jumamosi tuone nan ni mkimbiza upepo.
Ishu sio kashinda magoli mangapi, suala ni quality ya timu husika, Shelfield sio timu yenye ubora wa EPL kama timu zingine, naweza kushinda goli moja ila nimetengeneza clear chances 20, ni vile my striking line ime-underperform infront ot the goal. Ukiwa mjanja unaangalia parameters mbili tu kujudge mechi hata kama hukuangalia game, XG & possession vinatosha kukuonesha timu bora ni ipi.Kuongezea tu Spurs alishinda goli mbili dk za nyongeza...mpk dk ya 90 walikuwa wanaongozwa goli 1 na Hawahawa watoto...
Uliangalia hiyo mechi husika nnayoizungumzia kwanza....au tutaanza kujadili theory hmuIshu sio kashinda magoli mangapi, suala ni quality ya timu husika, Shelfield sio timu yenye ubora wa EPL kama timu zingine, naweza kushinda goli moja ila nimetengeneza clear chances 20, ni vile my striking line ime-underperform infront ot the goal. Ukiwa mjanja unaangalia parameters mbili tu kujudge mechi hata kama hukuangalia game, XG & possession vinatosha kukuonesha timu bora ni ipi.
Why unaona Spurs ni suala la muda?kama unamaanisha hivi it means mwenye uhakika wa kuwa juu ni Manchester City pekee maana hata Arsenal last season alikaa top kwa 284 days akaja kuanguka mpira sio suala la kukaririSpurs Ni swala la muda tuView attachment 2796373
Vyovyote utakavyo wewe sawa.Uliangalia hiyo mechi husika nnayoizungumzia kwanza....au tutaanza kujadili theory hmu
The real test to our new title contender. Sema Ange mtu na nusu, akitoboa huu moto apewe maua yake.Spurs Ni swala la muda tuView attachment 2796373
Tungeshinda mechi zote mbili dhidi ya City tungekuwa mabingwa, tumeanza kulifanyia kazi hilo msimu huu.Why unaona Spurs ni suala la muda?kama unamaanisha hivi it means mwenye uhakika wa kuwa juu ni Manchester City pekee maana hata Arsenal last season alikaa top kwa 284 days akaja kuanguka mpira sio suala la kukariri
Me Declan Rice nilianza kumkubali baada ya kumuangalia sana YouTube. Video za YouTube zinakuonyesha best moments za mchezaji, maana yake kama mchezaji akiwa fit kile ndiyo mnachotarajia kukiona. zubimendi siyo mbaya ila Youssef fofana kwa maoni yangu ni option nzuriMchezaji haangaliwi YouTube coz kuna mengi huonyeshwi kama kakosea au kafanya vizuri.
Kosa hilo hilo ndio wanafanya matajiri wa Chelsea, wanaangalia mchezaji YouTube kisha ndo wanaenda kumsajili.
Mimi wakati tunahusishwa na Declan Rice, niliingia YouTube kuangalia clip zake, kisha nikaangalia na clip za Moises Caicedo.. Mwisho nikajiuliza hii scout ya Arsenal ina akili kweli kutaka kutoa £100 mil kwa kiungo wa kiingereza ambae havutii hata YouTube? 🤔
The rest unajua..